siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    Siasa ni Sayansi, sasa kila Mtanzania anayekunywa Chai anamjua Mpina kama Watumia Umeme walivyomjua Dr Mwakyembe wakati wa Richmond!

    Hata Hayati Magufuli alijulikana sana alipobinafsisha Nyumba za serikali Maneno yakawa mengi na kila mtu akamjua Siasa ni Watu wakujue kwanza iwe kwa wema au ubaya kisha baadae unatenda mema na mema kuelekea Kiti cha enzi Sasa kila mtu anamjua Mpina na ukifika uchaguzi 2030 hatahitaji kutumia...
  2. K

    Luhaga Mpina ni jembe

    Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu. (1) Sukari tunayouziwa wachache wameweka chao cha juu Tshs.1,000 kama alivyotamka Tundu Lissu. (2) Kampuni za stationery...
  3. L

    Tundu Lissu jikite kueleza namna ya kukuza uchumi wa nchi, sio kulalamika tu bila mpango

    We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi wa nchi. Je, wewe ukipewa nchi kwa mfano unawezaje kuwaletea wananchi maendeleo? Tunajua duniani...
  4. A

    Pre GE2025 Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala

    Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na demokrasia ya vyama vingi Hapa Tanzania vikaundwa vyama siasa vikiwemo CUF, CHADEMA, UDP, NCCR...
  5. D

    Chadema hawajui kula na kipofu sijui shida ni elimu ndogo au?

    Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe. Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira...
  6. M

    Pre GE2025 Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa

    Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani ni CHADEMA wenyewe waliotamka kuwa moja ya masharti ya kuanza maridhiano ilikuwa ni kuachiliwa kwa...
  7. Nyendo

    Pre GE2025 Barbara: Wapambe na Machawa wanaendesha siasa za Tanzania, watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu

    Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania. Je, ni upi mtazamo au maoni yako juu ya alichosema? Atakuwa anawalenga watu gani wanaolipwa kuchafua au...
  8. DR HAYA LAND

    Tundu Lissu ni Goat katika siasa za Tanzania

    Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania. Kapigwa risasi Ila yupo imara. Kawekwa ndani sana Ila yupo imara. Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara. Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule. Hivyo Lissu to...
  9. L

    SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  10. J

    SoC04 Mambo matano kugeuza siasa za Tanzania

    1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu. 2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo. 3.kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi...
  11. J

    Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

    Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025 Ahsanteni Sana 😄😄
  12. MALCOM LUMUMBA

    Nakiri kwamba naendelea kujifunza siasa za Tanzania

    Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa. Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila chenga ni kwamba APANDACHO MTU NDICHO HUVUNA, na MWANADAMU HAWEZI KULINGANA NA MUNGU. Nitaelezea mtazamo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni kuwawezesha Wananchi kupata taarifa za Mambo mbalimbali...
  14. Anonymous

    Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  15. Ikulu T

    Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

    Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee. Zifwatazo ni sababu kuu tatu... 1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo. 2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha...
  16. Zanzibar-ASP

    Msingi wa siasa za Tanzania uko kidini, kamwe haiwezekani ukatenganisha dini na siasa za Tanzania

    Baada ya Serikali na CCM kubanwa kona zote kuhusu mkataba wa bandari na DP world, watawala na wapambe wao wakaona njia rahisi ni kuwagawa watanzania kidini mpango ambao nao umegonga mwamba. Hoja iliyobakia kwa watawala ikawa ni kuzifunga mikono na midomo taasisi za kidini zisijadili mkataba wa...
  17. Msanii

    Neno hili likumbuke sana ewe mfuatiliaji wa siasa za Tanzania

    Nimeona niseme hapa jambo muhimu. Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka. Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11. Naam atakuja kuwapatiliza kila mtu kwa kipimo alichowajazia wengine. Mungu ailinde Tanzania kwa kila pito tunalopita...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

    1. Viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi na wasiwe na chama chochote wala wasihudhurie vikao vya chama chochote wao wafanye kazi yao. Hivyo wajitokeze watu kadhaa kuwania nafasi hizo kisha wapigiwe kura. 2. Spika wa bunge na naibu spika wanatakiwa wachaguliwe na...
  19. Z

    Siasa za Tanzania na Nguvu ya Mwenyezi Mungu 2015-2020, 2020-2025

    Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua za mwisho kuchaguliwa kuwa wagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM, 2015. Yeyote kati ya hawa angeweza kuwa...
  20. Msanii

    Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
Back
Top Bottom