siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Subira the princess

    Pre GE2025 CCM wamepita mitaani kuandikisha wapiga kura, je ni haki yao kikatiba?

    Wasaam, Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandikisha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia. Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni...
  2. Tlaatlaah

    What are your opinions concerning this Presidential hopefully?

    Can Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, the chairman of Civic United Front (CUF) party, be the most Potential Presidential Candidate come 2025? Should Tanzanian oppositions, support and assemble behind him as far as general elections is concerned?🐒
  3. B

    Pre GE2025 Catherine Ruge: Rais Samia anahofia mageuzi yataiondoa CCM Madarakani

    8 July 2024 ‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’ Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile...
  4. Yoda

    Nini hatima ya wafuasi wa CHADEMA katika mpira wa Tanzania ?

    Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
  5. Freyzem

    Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika yuko wapi?

    Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa! Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata? Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana...
  6. J

    CCM siyo tu inazimiliki Simba na Yanga bali inavimiliki hata vyama vya Siasa, yaani CCM ni Chama Dola!

    Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani...
  7. Erythrocyte

    Pre GE2025 Sirari: Mabaki ya CCM yaondolewa Rasm mitaani, John Heche aongoza usafi

    Tumeishasema tangu awali humu JF na kwingineko kwamba, kwamba tayari ccm ishateketezwa Tarime, hili hakuna anayepinga, Sasa hivi kinachofanyika ni kukusanya mabaki na kuyapiga kiberiti. Hapa ni Sirari leo hii kwenye kampeni kabambe ya kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Uchaguzi...
  8. Mganguzi

    Pre GE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

    Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha? Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya...
  9. A

    Pre GE2025 Hivi CCM huwa wanashindana na nani kwenye uchaguzi?

    1. CCM nao wanachekesha Sana aisee. Yaan eti nao wanajipanga Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mbona 2019 waliachiwa viti vyote nchi nzima? 2. Panic ya nn mwaka huu. Watulie kusubiri "kutangazwa" washindi bila kupingwa.
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Pre GE2025 Msaidizi wa Wa Halima Mdee Ahamia CCM. ASkofu Ngwajima na Amos Makala wamkaribisha

    https://www.youtube.com/watch?v=Uj1SB3vHgBU&ab_channel=GlobalTVOnline
  11. Idugunde

    Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi. Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
  12. Matulanya Mputa

    UVCCM acheni kusifia vitu ambavyo havipaswi kusifiwa

    Leo UVCCM hawajuhi mbegu ambazo wanapanda zitakuja kuwagarimu baadae? Leo UVCCM hawajuhi miaka inayoenda au miaka ya mbele vijana wanaenda badilika? Je uovu, mateso ya watanzania hawayaoni, siku wakija omba uongozi ikiwemo ubunge, udiwani, je wakiambiwa mlikuwa mnatetea wala rushwa...
  13. L

    Rais Samia awakosha na kuwapa Tabasamu Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali. Watanzania tuna Rais anayewajua vyema na kwa undani wasaidizi wake na kutambua nani anafaa wapi...
  14. Z

    Pre GE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

    Habari zenu wakuu Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea. Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama Binafsi nimejikuta...
  15. Suley2019

    Pre GE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
  16. S

    Pre GE2025 Maajabu ya Msigwa ni kwamba kukosana kwake na Mbowe kumefanya mambo yote aliyoyachukia ndani ya CCM kwa miaka mingi yabadilike ghafla na kuwa mazuri!

    Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa, akakorofishana na Mbowe, au tuseme akashindwa uchaguzi ndani ya Chadema na ikawa kichocheo cha...
  17. Erythrocyte

    Pre GE2025 Siri ya CHADEMA kukubalika Tanga yatajwa

    Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa...
  18. J

    Pre GE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM. Sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa...
  19. L

    Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani...
  20. Erythrocyte

    Pre GE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

    Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kusema Tanga ni Ngome ya CCM, Labda awe mwehu. Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com...
Back
Top Bottom