Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024
Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi.
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
======
GTs,
Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na hamasa ipo juu mno kuhusu kumpa kura za ndiyo 2025.
Wanaosema eti siyo mkali hawana hoja kwa...
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
Hebu fikiria kuna wananchi wanafurahia kupandishwa ndege na kwenda kutalii nje ya nchi. Na wengine kupewa ahadi za kuwa viongozi. Wengine kusafirishwa kwa kupanda treni mpya. Naandika haya huku nikitokwa machozi.
Watanzania wenzangu, itatusaidia nini kwenda china na kurudi na kukuta miundombinu...
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.
KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda.
Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena.
Sasa sijui kimetokea Nini...
Katika hali ya kushangaza, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewaamuru madiwani wa Jimbo la Iramba ambao amewaweka yeye madarakani wasitishe uamuzi wa kujenga shule eneo la Ruruma kata ya kiomboi ambalo watoto wanatembea hadi kilomita 15 mpaka 20 kuzifuata shule za sekondari zilipo kwa sasa...
Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu.
Ni nguli wa kisiasa ambaye sijui ni nani ataandika hotuba ya kusherekea maisha yake katika utumishi wa umma...
Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya:
1. Nape Nnauye
2. January Makamba
3. Riziwani Kikwete
Hivi isingelikuwa hao wazee, watajwa wangekuwa wapi kwa sasa?
Wangekuwa juu sana kisiasa na kiuchumi?
Wangekuwa chini sana...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na...
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.
Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,
"Rais Samia, People do love You Mama"
Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani .
Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari.
Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM .
Naimani 2025 Mama...
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.
Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa...
Dunia nzima ikiwa ni pamoja na viongozi kadhaa wastaafu wa Nchi hii, akiwemo Mzee Warioba na Kinana wanafahamu kwamba CCM haikushinda Uchaguzi wa 2020, Iwe kwenye Urais wala Ubunge na Udiwani kwa Tanganyika na Zanzibar. Huko Zanzibar 2020 ndio Mwaka unaotajwa kuongoza kwa Mauaji ya wapinzani wa...
Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge.
Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi tu muda alowakusanya haujulikani akiwa na msafara wa magari yasozidi 10!
Je, Mbunge huyu aweza...
Habari zenu.
Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025.
Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi...
Nyakati na zama mpya zina wakataa, fikra, maoni na mitazamo mipya ya urika, mvuto na ushawishi zinawapushi kwa nguvu sana kuwabandua nje ya mfumo.
Kiufupi mfumo na nyakati vimewatupa mkono. Hakuna haja ya kusubiri fedheha. ni muhimu kujifunza kusoma alama za nyakati na kuvhukua hatua, kabla...
Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote.
Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua
Hali ilikuwa hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.