Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo.
Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja...
Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa
Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi kizazi kitakachokuja kuwa hovyo kuzidi sisi ni hiki na kingine kitakachokuja nyuma ya hiki.
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa Serikali wanapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano katika Mikoa na Wilaya ili kwa pamoja washiriki...
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa.
Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali...
Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo Mbele.
Mara baada ya kuwa hawana kitu cha maana cha ku ofer kwa raia wao, au hali ni Mbaya, Kodi...
Nimeyafakari waliokwisha hama kutoka Chadema kwenda CCM ndiyo wanaoifanya CCM iishi na kushamiri kuipiga Chadema Nguvu kazi yote inatoka Chadema.
Kwa hali hii Chadema ni mradi wa CCM. Nimehesabu wakafika watu 80 waliohamia CCM kutoka chadema baadhi ni wakuu wa wilaya,Mawaziri na viongozi wa...
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za...
Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu...
Chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe imeingia Kwa Msisi, eneo ambalo viongozi wa ccm wanaogopa kwenda kutokana na dhuluma walizowafanyia wananchi wa huko kwa muda mrefu (wanaogopa kulogwa)
Chadema imefika na kupokelewa na Wananchi kwa shangwe kuu, jambo lililomfanya Mkuu wa Wilaya hiyo Bwana...
Iliwahi kutajwa kuwa ili tuendelee tunahitaji ardhi, siasa safi na watu. Ardhi ipo hadi yakumwaga, siasa ipo hadi vyuo vikuu isipokuwa imekosa maji na sabuni ili ioshwe iwe safi na hii ni kwasababu nchi haina "watu" wenye uwezo wa kuiosha na kuondoa madoa sugu yaliyoachwa na yanayoendelea...
Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano.
Hayo yamesemwa...
ccm zanzibar
dkt. mwinyi
hussein mwinyi
katiba
kuelekea uchaguzi 2025
magufuli
rais hussein mwinyi
rais mwinyi miaka 7
siasazatanzaniasiasazazanzibar
urais miaka 7
Makubaliano ya kuachia Jimbo yamefikiwa leo baada ya Chadema kuvurumisha mikutano ya hadhara isiyo na idadi (Tunatafuta calculator isaidie kujumlisha), ambayo wananchi wameielewa kabisa, Hakika kisicho ridhiki hakiliki!
Lissu ametoa Elimu ya Haki kwa Raia na kwamba hawapaswi kutishwa na yeyote...
Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi ndugu na rafiki yenu
Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu
Nimeridhishwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.
Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.