siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  2. D

    Aliyesema CPA Amos Gabriel Makalla hajui siasa amsikilize sahivi

    CPA Amos GABRIEL makalla amsikilize sahivi yupo Dar Es Salaam anamwaga mavitu. Namfahamu Makalla ni mwanasiasa hodari aliyekulia na kulelewa kisiasa. Hana mambo ya siasa za kishamba, amezaliwa mjini Dsm siyo nyie kina Masanja mmeingia jana. Anajua mipaka ya majukumu yake, siyo kupotosha wananchi...
  3. Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  4. J

    Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
  5. M

    Siasa ni ujanja, kama siyo mjanja hutoboi

    Ukiimpenda mwanamme sana atakutia wazimu, jifanye kama humpendi ili yeye ndio akupende. Ukiwa CCCCMM sana halafu huna cheo ni ngumu kupata uteuzi. Ukiwa mpwinzani sana utapa cheo na ukirudi cccccm utapata cheo zaidi Kuna mpinzani alietoka Upinzani hana cheo? 1. Kitilayaa 2. Kafulilayaa 3...
  6. Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika. Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika. Yapo maswali ya kujiuliza kuhusu aina ya wanasiasa hawa na namna watanzania tunavyopumbazwa na watu...
  7. T

    Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  8. Pesà na siasa ni vitu vinavyohusiana pakubwa

    Ile kauli ya kusema pesa ndo kila kitu hakika wahenga hawakukosea kwani hili jambo kwenye siasa zetu za bongo limekuwa na nafasi kubwa mno Viongozi na makada mbalimbali huingia sana katika huu mtego wa pesa na hapa ndipo unapokuja kugundua kuwa hakuna mapenzi ya dhati kwa watu ila ni tamaa za...
  9. Chama chenye siasa safi Africa ni ccm

    Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara Umahili wa viongozi wake ndio sababu ya Ccm kudumu muda mrefu bila kuyumba. Ccm Imara ndio chanzo cha Amani Yetu
  10. Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Godbless Lemma wafanya mkutano wa siasa pamoja Handeni

    Ni Msando na Lemma. Hii ni hatua ya kupongezwa kwa Godbless Lemma, amekiri kwamba siasa sio uadui. Hii pia aliisema Mbowe alipokuwa katika kikao Arusha ambapo alihimiza 4R za Samia za kusameheana na kushirikiana. Mtu pekee ambaye anaendesha siasa za chuki ndani ya Chadema ni makamu, ambapo...
  11. Kijana unapo ingia kwenye siasa, nakusihi itazame kama ajira yeyote ile.

    Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa. Back to the point..... Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake. Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu...
  12. P

    MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

    Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
  13. Kagame na Siasa za ubabe: Kupiga kura na kuchangia chama tawala si hiari, ni lazima!

    Paul Kagame Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote. Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
  14. R

    Bodaboda acheni undumilakuwili kwenye siasa, kuweni na msimamo, saa ya Ukombozi ni sasa!!

    Salaam, Shalom!! Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta? Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa? Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali...
  15. R

    Masheik mahubiri ya maadili yasiishie kwenye ushoga, jumuisha HAKI, WIZI WA MALI ZAUMMA- REPORT ZA CAG, siasa safi, uongozi bora na mambo kama hayo

    Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu. Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
  16. SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
  17. Siasa isiwepo Timu ya Taifa

    Nashukuru Mungu timu yetu imeshinda leo. Ombi langu ni kuwa wanasiasa wasijaribu kutia pua yao kwenye timu yetu. Huwa mnatugawa sana na sipendi hichi kitu. Naomba mambo yabaki kama yalivyokuwa leo. Tuwaamini wachezaji na makocha tafadhali.
  18. T

    Dr Samia: Niliporuhusu wapinzani wafanye siasa hawana cha kusema zaidi ya kunitukana

    Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa CCM walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
  19. W

    SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

    Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi. Tatu...
  20. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…