Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.
Wakubwa kwema!,jamani Mimi nilikua nauliza je Kuna ukweli wowote kwamba sigara aina ya embassy imetengenezwa Kwa kiwango cha juu kidogo kulikoni hizi sigara zingine,maana nilimsikia mzee mmoja alisema kwamba emmbacy ni zero nikotini tofauti na sigara nyingine kwahiyo ni salama kidogo je Kuna...
habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.
mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.
NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
Uvutaji wa sigara hadharani umekuwa kero kubwa sana mitaani na katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile vituo vya daladala na baadhi ya maduka ya rejareja.
Ikumbukwe kuwa sigara ni hatari zaidi kwa asiyetumia (second-hand smoker), yaani yule ambaye ametulia zake mara ghafla moshi wa...
Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi,
Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k. utahangaika sana, Tatizo sio mwili bali ni akili, mtu anaamua mwenyewe kwa hiari yake.
Dawa za...
Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara).
Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
Habari za wakati huu!!..Kuna hili suala la uvutaji wa sigara Kila mahali,wavutaji hawajali wengine ambapo hawavuti,hawazingatii eneo wenyewe watakapo jisikia kuvuta eneo lolote wanavuta si barabarani,eneo lenyewe mkusanyiko wa watu hawajali Hilo. Hili suala linakera sisi wengine ambapo sio...
Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje.
Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia...
1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo.
2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
Unajua watu ukiwaambia jinsi ulivyo na akili wanakudharau rafiki sasa sikia hii mimi ipo siku naanza biashara ya pombe na mpango wangu ukija unanunua pombe me offer yangu ni sigara moja si najua pombe ina faida ya Tsh. 300 so nakupa sigara moja ya 100 mimi potelea mbali acha nipate 200 halafu...
Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa.
Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila...
Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake.
Hii...
Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa sigara hadharani.
Ameongeza kuwa sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa...
Tabia inayofanywa na wavuta Sigara.
Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo.
Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa...
Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), takriban watu Bilioni 1.3 duniani wanavuta...
Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la kuabudu na kucheza pamoja.
Miongoni mwa sheria za klabu hii ni marufuku kuvuta sigara, hakuna...
Mara nyingi nikiwa na stress na kupelekea kukosa usingizi, huwa navuta sigara ili kupunguza stress hizo. Hata iwe usiku wa manane nitajitahidi niende kwenye Club zinazokesha nikafuate sigara.
Suala la kuwa inanisaidia au lah, sidhani lakini pale napokuwa navuta huwa nakuwa katika hisia nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.