sigara

Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.

View More On Wikipedia.org
  1. Ghost MVP

    Uvutaji wa Sigara husaidia kulainisha choo kwa wenye tatizo la kupata choo kigumu

    Hii bhana huwa inasaidia sana baada ya kula au kushiba sanaa ukitumia sigara basi muda huo huo utaanza kuhitaji kutumia maliato kwa haraka sanaa. Nani mwingine amegundua hili
  2. Suley2019

    SI KWELI Kula matango baada ya kuvuta sigara kunasaidia kupunguza athari zake

    Salaam ndugu zangu, Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara. Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona. Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
  3. Intelligent businessman

    Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  4. 00m

    Sheria ya kuzuia uvutaji wa sigara iliishia wapi?

    UVUTAJI SIGARA. Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi. Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.
  5. Nanamucho

    Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

    Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee! Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
  6. BARD AI

    Snoop Dogg anapanga kuacha kuvuta sigara?

    Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake. --- Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza kuacha kutumia bangi. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus, alifanya tangazo...
  7. King Jody

    Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

    Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex. Je, kuna ukweli wowote katika hili? We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi Binafsi napenda- Kusikiliza...
  8. tpaul

    Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

    Ukistaajabu ya Musa hujaona ya Firauni. Hivi majuzi nilikuwa mitaa fulani nikapita karibu na maskani ya padre mmoja wa kanisa katoliki. Kwa mbali nikamuona mwanamke wa makamo anafanya usafi na kulisha mifugo. Haujapita muda mrefu nikakutana na kijana na kumuuliza kama padre yupo akanijibu padre...
  9. BARD AI

    Dakika 60 za Kuvuta Shisha ni zaidi ya Kuvuta Sigara 100 hadi 200

    Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association (ALA), vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 24 duniani wanazidi kuingia katika matumizi ya 'Shisha' licha ya Kilevi hicho kuwa na madhara ya Kiafya. Tafiti za ALA za mwaka 2020 zinaonesha 52.1% ya Watumiaji wa Shisha duniani...
  10. Restless Hustler

    Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

    wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu. Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi...
  11. Dr Matola PhD

    Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

    Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje? Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi? Cc: Dr Lizzy say...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  13. M

    Dawa ya kuacha sigara

    #FAHAMU Ibrahim Yücel raia wa Uturuki aliamua kuvaa kofia maalumu kwa ajili ya kujizuia na uvutaji wa sigara baada ya kushindwa kuacha uvutaji. Kofia hiyo alifunga kwa funguo maalumu na kumkabidhi mtu mmoja ambaye alikuwa akimfungulia muda wa kula chakula tu. Mwanaume huyo alisema kuwa alianza...
  14. Pang Fung Mi

    Ushuhuda: Ama kweli pombe sio sigara yamenikuta

    Wasalaam, Jana nimepita starpark Morogoro nikiwa natoka DSM kurudi Dodoma nimempigia demu wangu mmoja bahati mbaya yupo kilosa, sasa bhana si nikaingia starpark kula vyombo nikawa natupia Hanson choice baadae nikahamia kunywa bia Serengeti larger kubwa. Sasa kuna demu mmoja alikuwa anacheza...
  15. Winga dalali

    Ulianzaje anzaje kuvuta sigara?

    Part one Kiukweli,hata Mimi sijui nilianza lini, naandika Uzi muda huu nikiwa nimewasha portsman kusindikiza muda uende kama kiburudisho. Kiukweli uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya kama ilivyo kwenye matangazo katika pakiti zake. lakini ni nani awezaye kukana arosto yake kisa...
  16. Winga dalali

    Hivi Tanzania ina Sheria kuhusu Uvutaji wa Sigara?

    Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza hivi kuna sheria yoyote Tanzania kuhusiana na uvutaji wa sigara (fegi,Chiga,mufe,filter) 1. umri sahihi wa kutumia au inaruhusiwa hata kwa mtoto wa miaka 10. 2. Maeneo husika ya kuvutia sigara,au ni ruksa popote pale .unachoma uliponunua? 3. Ni,kosa kwa afisa...
  17. sky soldier

    Baada ya vuta nikuvute ya kujaribu kuacha fegi, hatimae kwa sasa nimejinasua kabisa kwenye kifungo cha uraibu wa sigara, ni miezi 6+ siijui fegi

    Nimeanza kuvuta fegi since 2012, fegi ilikuwa daily mara 3 asubuhi, mchana, sometomes jioni na usiku, kila siku, ni mara chache mno niliruka. Nilikuwa mvutaji wa siri sana, nilikuwa naenda kuvutia maeneo ambayo sijulikani na kweli niliweza kuitunza siri hii mpaka nimeacha hakuna anaejua kasoro...
  18. DR HAYA LAND

    Je ni sahihi kuvuta sigara ndani ya daladala hata Kama umepata Arosto?

    Ni vizuri watu wakajifunza kuwa waungwana Ni Jambo Ambalo halifai Mtu kuvuta sigara ndani ya gari Jambo hili limetokea katika daladala hapa nikielekea mitaa ya visiwani maana sisi wengine hatupatani na Moshi mchafu wa sigara this is unacceptable
  19. U

    Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

    Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
  20. NetMaster

    Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
Back
Top Bottom