sigara

Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es Salaam ambaye anafafanua kitaalam na katika lugha nyepesi changamoto mbalimbali kuhudu...
  2. Mission Report 16 12 61

    Msaada wa kutoa harufu ya sigara kwenye gari

    Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
  3. Mwachiluwi

    Kumbe kuna sigara zina harufu ya pipi?

    Mimi huwa nachukia pombe na sigara sasa leo nimehisi halufu ya sigara mzuri achana na hizi wanazo vuta vijiwe vya kahawa je hizi hazi madhara?
  4. Jack Palladino

    Kuna baadhi ya Wanawake wanapenda ile harufu ya sigara mwanaume akivuta lakini hawapendi avute sigara!

    Nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti walevi, wavutaji na wengine hawavuti sigara ila wengi wao wanasema wanapenda harufu ya sigara nikivuta but hawapendi nivute sigara! Hivi hii inakuwaje wadau?
  5. Dalton elijah

    Sigara hupunguza nguvu za kiume

    SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ... Sources ...
  6. mdukuzi

    Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  7. MK254

    Hivi ndivyo meli kubwa ya kivita (Moskov) ilivyopigwa na Ukraine, japo mlisema sigara ndio chanzo cha ajali yake

    Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado anatumia mbinu za kitambo sana kupigana, anaacha meli muhimu inakua yenyewe huko baharini, siku hizi meli...
  8. Sosoma Jr

    Hatua za kufuata ili kuacha kuvuta Sigara

    HATUA ZA KUACHA KUVUTA SIGARA Madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji sigara ni makubwa na yanahatarisha si tu uhai wa mvutaji bali hata na watu wengine wanaovuta moshi kutoka kwa mvutaji. Kwa upande mwingine, hakuna faida yoyote anayopata mvutaji, hivyo wavutaji wa sigara wanashauriwa waache...
  9. NetMaster

    Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu pakiti ya sigara = sigara 20 bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200 box moja...
  10. NetMaster

    Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  11. Mr George Francis

    Marufuku watoto sehemu za starehe wala kuuziwa sigara

    Karibu sana mpenzi msomaji na mdau wa JamiiForums katika Somo la leo ambako tunakwenda kujifunza kuhusiana na ulinzi wa mtoto (Child Protection) hasa katika mazingira hatarishi kwa ustawi bora wa mtoto. Leo tunaangazia zaidi kifungu cha 17(1, 2, & 3) cha Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sura ya 13...
  12. M

    SoC02 Mvuta sigara anavyotumia wastani wa kiasi cha Tsh milioni 16.9 hadi Tsh 42.3 kununua sigara karibu kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm Club Tsh...
  13. Mganguzi

    Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  14. PANTHERA LEO

    Msaada: Biashara ya sigara

    Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe na kuvuta sigara?

    Habari! Sina maelezo mengi. Naomba tu kuuliza. Inakuwaje kijana anakunywa pombe na wengine huvuta na sigara juu?
  16. Swahili AI

    Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  17. Pearce

    Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

    Sigara hiyo ya hatari ambayo imefanya Urusi wanajeshi wake kuondoka Kherson Na imelipotiwa ndio iliochoma ndege za kivita na kushambulia Depot ya uhifadhi Siraha zao huko Crimea Vitisho vya Sigara hiyo vimepelekea vikosi vya Urusi kuweka kambi maeneo hatarishi kama kwenye vinu vya nyuklia...
  18. JanguKamaJangu

    Utafiti: Vichungi vya sigara vinatumia hadi miaka mitano kuoza

    Vichungi vya sigara (vitako) ni kati ya vitu vyenye uchafuzi na sumu vinavyopatikana katika vyanzo vya maji, pia inachukua hadi miaka mitano kuoza vikitupwa ardhini, hiyo kuruhusu nikotini na kemikali kuingia kwenye mifumo ya ikolojia inayozunguka ambayo inaathiri maisha ya binadamu. Utafiti wa...
  19. DR HAYA LAND

    Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  20. JanguKamaJangu

    TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo atatozwa faini ya Tsh. 200,000 au kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi sita jela. Meneja wa Kanda ya Mashariki wa TMDA, Gloria Matemu aliyasema...
Back
Top Bottom