Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.
Habari wana jamvi,
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
Ahlan wa sahlan.
Leo naomba niongelee experience yangu fupi katika betting (Kamari).
Binafsi, mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaipinga sana michezo ya Kamari, maarufu kama betting. Ila kutokana na upweke (boredom) pamoja na udadisi (curiosity) wa kutaka kujua nini kipo nyuma ya michezo hii...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito.
Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake?
Kama tumepiga marufuku...
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza...
Wakuu, naona kama hii kitu inaongezeka kwa kasi, kuna Wadada siku hizi wanapiga fegi (sigara) bila uoga kabisa.
Hatari ya Wanawake kuvuta sigara ni kubwa kuliko wanaume.
Kuna sehemu nimekaa hapa kuna mabinti wanne, wawili wabongo na wengine wazungu wapiga fegi unstoppable.
Na kila mwanamke...
Shirika la afya duniani WHO, limesema idadi ya wavutaji sigara duniani imepungua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. WHO imezitaka nchi kuongeza hatua zaidi za udhibiti wa kukomesha uraibu wa Tumbaku.
Katika ripoti iliyotolewa leo, WHO inasema kwa mwaka 2020 watu bilioni 1.30 walikuwa...
Wasalam
Iko hivi kuna tabia/mazoea kwa wavutaji wa sigara wanaovuta sigara kiholela barabarani na sehemu zenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya za watu wengine
Embu fikiria uko njiani unatembea mbele yako kuna mtu anavuta sigara na ule moshi anaoupuliza wote unawarudia mliokuwa nyuma yake...
Yaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile.
Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
Serikali makini mna habari kwamba huku mitaani kundi la watu wanaovuta sigara wanapezana sigara kwa kuwa uchumi sio mzuri?
Mtu Winston moja wanavuta watatu sasa wameshazoea wakaona Corona hamna maana wanadai hawajaona ishara za hao washikaji zao kufa kwa wingi.
Ndugu zangu Serikali kuweni...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI YA PAKTI MOJA
BEI YA SIGARA MOJA
Winston & Master Club
Tsh1600/=
Tsh 100/=
Sports Club & Sm...
Mtangazaji Maulid Kitenge ametoa hoja katika swali kuwapa changamoto wanaokataa chanjo
Amesema kama unatumia pombe kali na unavuta sigara ambazo zinakuweka katika hatari ya magonjwa na kufariki, unaogopaje chanjo ya #COVID19
Je, unaionaje kauli ya Kitenge, kiungo mshambuliaji?
Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi?
Tafiti zimeonyesha sigara ni...
HabarI zenu ndugu zangu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo.
Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula,
Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuhakikisha mvuta sigara hawezi kuingia toilet bila sigara mdomoni, tena hii ni kwa watu...
Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana.
Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara.
PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara...
New Zealand ipo kwenye mchakato wa kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa nyingine za tumbaku kwa Mtu yoyote aliyezaliwa baada ya mwaka 2004
Ni juhudi za kuondokana kabisa na matumizi ya sigara ikiwezekana hadi kufikia 2025 Mtu yeyote asivute sigara Nchini humo.
=================
New...
Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa jumla na reja reja. Naomba kama kuna mwenye ufahamu kuhusu biashara hii anipe muongozo .
Box moja la...
SIGARA "CLIPPER" ALIYOKUWA AKIVUTA MWALIMU NYERERE
Picha hiyo hapo chini imepigwa mwaka wa 1955 Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu kwenye Tawi la TANU alilofungua Ali Msham nyumbani kwake.
Ali Msham ni huyo upande wa kulia aliyekuwa katika ya vijana wawili wamepiga lubega za kaniki mmoja ana shoka...
[emoji1593]Wataalamu wa matibabu wanaonya kuwa kutibu madhara ya sumu hii huhitaji teknolojia ambayo ni ghali mno na kuwa sio nchi nyingi zina
uwezo wa kuyatibu.
[emoji1593]Kwa hiyo ukipata sumu hii ameugua, itabidi tu ajitayarishe kupoteza maisha.
[emoji1593]Dkt Gakunju anaongeza kuwa jani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.