sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  2. Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  3. Heri ya Sikukuu ya Maulid.🇹🇿

    Nawatakia watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Maulid.... 🇹🇿🙋🌹
  4. U

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au Sabato!

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Wadau hamjamboni nyote? Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
  5. TAFAKARI: Sikukuu ya wakulima 8/8 kufunikwa na mechi kati ya Simba na Yanga, je Watanzania wa leo hawahitaji tena kilimo?

    Wasalaam JF Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8. Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
  6. Leo ni 8/8 Sikukuu ya Wakulima Tanzania, una ujumbe gani kwa Wakulima?

    Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
  7. Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  8. Heri ya sikukuu ya wafanyakazi, nyongeza za mishahara ni msingi wa mafao Bora

    Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa Kazini, Mfano; Kufanya Kazi Kwa Saa Nyingi Na Kulipwa Kidogo, Kufanya Kazi Katika Mazingira...
  9. Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza] Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi Uhuru ZIJAZO 1. Magufuli Day. 2. Mama Day SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
  10. sikukuu ya wafanyakazi ujumbe kwenu

    Hapa kuna ujumbe kuhusu wafanyakazi wote mda mwengine uzembe na mazoea umebebeka sana kwenu. Hii ni picha ya mfano mfanyakazi .
  11. Haymarket affair au Haymarket Massacre ilivyogeuka Kuwa Mei Mosi na Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Historia Ya Mei mosi)

    SOLIDARITY! Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19. Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani yalifanyika kudai saa za kazi zisizozidi masaa 8 kwa siku. Tukio hili linajulikana kama "Haymarket affair"...
  12. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"
  13. Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  14. KERO Website ya ORS BRELA kila siku nikiingia haifanyi kazi

    Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
  15. Bajeti yako ya sikukuu jana ilikuaje, umetumia kiasi gani kusherehekea ?

    Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana. Nilitumia Buku tu, 1000/= Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
  16. Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani . Hii hapa ndio Taarifa yake
  17. Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Salaam wakuu. Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr. Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...
  18. Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  19. P

    Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…