silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Street Hustler

    Mzembe, mvivu huona kila kitu anaonewa kwake kulalamika ndio silaha kuu na huyu ndo Mtanzania

    Ndugu Leo tuongee kidogo kuhusu maisha yetu halisi hapa tujiseme, tujitukane hii italeta taswira mpya kamasio sisi basi hata uzao wetu huenda ukawa Bora. Sisi n hatupendi kufanya kazi lakini tunataka tuwe napesa mfukoni je tutazipata vipi bila kufanya kazi tena sio kufanya kazi tuu bali n kwa...
  2. S

    Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  3. M

    Kalamu ya Askofu Bagonza: Tuhuma za Ugaidi ni silaha ya mtawala dhidi ya mtawaliwa

    Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika KABLA YA KATIBA MPYA... 1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi. 2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini. 3. Kabla ya...
  4. Nyendo

    Polisi: Kati ya Mei na Juni 2021 tumekamata wahalifu 5,429

    Taarifa kwa vyombo vya habari.
  5. LellozWho

    Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

    Sina takwimu kamili Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend). Kikubwa nimejifunza Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela) Ingawa process ni ndefu. Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi...
  6. Miss Zomboko

    Sheria inasema anayemiliki silaha hatakiwi kuwa na hasira na awe na akili timamu

    Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro "Sheria iko wazi. 1. Awe raia halisi wa Tanzania 2. Umri 3. Diplomasia 4. Makampuni. Lakini zaidi tunazingati mwombaji awe na Akili timamu na zaidi awe na uwezo wa kuimiliki na kuitumia silaha. Kuna mtu akifika miaka 50 uwezo...
  7. The Palm Tree

    Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

    Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Kamati ya Ulinzi na Usalama iliyompa silaha muuaji wa Lemax Bar iwajibike

    Moja kati ya sherehe zake akiwa hai Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021. Kwa mujibu wa shuhuda ambae pia ni Rafiki, Kijana aliyepigwa risasi na kufariki anaitwa Gift na alikua amekaa jirani...
  9. C

    Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  10. waziri2020

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara Salehe Salim Alamri na wenzake yapigwa kalenda

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Silaha ya Masikini ni Unafiki

    SILAHA YA MASIKINI NI UNAFIKI Kwa Mkono wa Robert Heriel Uzoefu wangu unanieleza jambo hili. Na nimeshalithibitisha kwa yakini kuwa Silaha namba moja kabisa ya Mtu masikini ni Unafiki. Umasikini upo wa namna mbalimbali, upo umasikini wa kiuchumi, umasikini wa kifikra, umasikini wa Kiroho...
  12. Miss Zomboko

    Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa Nchini

    Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amesema Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa nchini. Amesema kuna kata moja katika Jiji hilo la kibiashara ndio inaongoza kwa vibali vya kuruhusu watu kumiliki silaha na jambo linalomshangaza ni wahusika...
  13. Kijana ushe2

    Kundi la vijana ni silaha kubwa ya mageuzi vizazi vijavyo hapa nchini Tanzania

    Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
  14. Sam Gidori

    Burkina Faso: Magaidi wenye silaha waua watu 138

    Wapiganaji wenye silaha wanaodhaniwa kuwa wa Jihadi wamewaua takriban watu 138 kaskazini mwa Burkina Faso, katika shambulio linalotajwa kuwa baya zaidi kushuhudiwa tangu mwaka 2015. Rais wa taifa hilo, Roch Marc Christian Kabore amelaani shambulio hilo akiliita la kishenzi na lililofanywa kwa...
  15. Leak

    RC Makalla amuagiza Kamanda Wambura kuwapora silaha majambazi kabla hawajazitumia, amtaka awape ‘show’ kali

    Habari wanajamvi Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana RC Makalla kwa kauli yake leo juu ya uhalifu na ujambazi unao endelea jiji la Dare-es -saaam kwa kuwataka jeshi la polisi kuwapora haraka silaha majambazi kabla hawajazitumia. Ni ukweli ulio wazi majambazi wameanza kutishia amani na...
  16. Shing Yui

    Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    Daniel Ellsberg Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa...
  17. S

    Afande anasemaje? Tulale na mapanga au silaha?

    Sasa ndio amekusudia kutuambia Jeshi la polisi limeshindwa kuwadhibiti majambazi na wezi wavunja madilisha na milango wakiwemo vibaka wa njia za mkabulini? Wapemba wao huko kwao Pemba huwaga wanatembea na visu kiunoni mkubwa kwa mdogo. Ila Hapa TzB inaruhusiwa mtu kutembea na silaha kama...
  18. Trubarg

    Video: Wataalamu wa silaha tuzungumzie accuracy ya hizi ndege za Israel

    _Yani nga inalenga pale pale _ Hakuna jengo la jirani lililoathirika. Hii inawezekanaje...? _Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
  19. Z

    Wasichokijua WCB fanbase yao ni kuwa kwa sasa Harmonize ndio Star wa movie na wao wapo upande wa adui. Diamond kaamua kutumia silaha ake kabla ya muda

    Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie. Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha...
  20. Miss Zomboko

    Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
Back
Top Bottom