Mbunge wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) badala ya kuwafundisha wengi.
Bulaya amesema kutoa mafunzo ya silaha kwa vijana wengi wakati hawapati nafasi za kujiunga...
Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria.
Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi...
Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden.
Kuongezeka kwa kiwango cha uuzaji silaha kwa Marekani, Ufaransa na Ujerumani kulisawazishwa na kupungua...
Habari za leo wakuu,
Naomba kujua je! unaruhusiwa kusafiri nje ya nchi ukiwa na bastola yako na ambayo unaimiliki kihalali? Kama jibu ni ndiyo ni taratibu zipi napaswa kuzifuata ili kukamilisha hilo mbali na taratibu zingine za migration?
Nawasilisha
Wikiendi muswano?.
Kuna wadau kadhaa ambao wana nia njema ya kutaka kumiliki siraha za moto na wengine humu jukwaani wameomba tahariri njia gani na nini kinatakiwa ili wawe wamiliki, kama hawa 👇🏾.
https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-kujuzwa-sheria-ya-umiliki-wa-silaha.1833379/...
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia...
Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe.
Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi.
Korea imetamba kuwa hilo Ni kombora lenye nguvu Sana hapa Duniani.
Tangu Korea ilipogawanyika na kuwa Korea...
Waandishi wa habari wapatao 50 wamepoteza maisha wakiwa kwenye kazi zao ndani ya kipindi cha mwaka 2020 kwa mujibu wa shirika la kutetea waandishi na vyombo vya habari duniani, Reporters Without Borders.
Kwenye mazungumzo mafupi kwa njia ya video na DW, mkuu wa Kamati ya Usalama wa Waandishi wa...
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.
Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha ulimwenguni kwa mwaka 2019. Lakini pia ripoti hiyo imesema Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia...
Wakuu nawasalimu.
Kitu kilichotokea kwa akina Halima Mdee siyo cha kushangaza. Ni mwendelezo wa matukio mengi tu ambayo yamekuwa kawaida siku hizi.
Watu wanaotumia muda kufikiri, wakiwemo pia ndani ya CCM wanajua kinachoendcelea. Unawezaje kuwalaumu akina Mdee? Ukitaka
kutoa lawama kwa hawa...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewakamata wafungwa wanne wanaodaiwa kutoroka baada ya kumshambulia kwa mapanga na kumjeruhi mwilini mlinzi, Askari Magereza na kumpora silaha.
Wafungwa hao wanadaiwa kumpora bunduki aina ya Uzi-gun yenye namba TZPS 5570-062974 Sajeni Feedolin Madembwe...
Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34.
Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake.
Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
Kinachoendelea huko Msumbiji ni ushahidi mwingine wa jinsi Majeshi mengi katika nchi za kafrika yalivyo dhaifu katika kulinda mipaka kama tunavyoona pia katika nchi nyingine za Kiafrika kama Nigeria ambako vikundi vya kigaidi vinasumbua Majeshi katika nchi hizi.
Uwezo wa Majeshi mengi ya nchi...
Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe.
Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake.
Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na...
Wakuu,
Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.
Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.
Kombora...
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Zaidi soma;
Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.