Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kukutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyara za Serikali
==
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman...
Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
Wakati dunia ikiendelea na uvumbuzi wa zana mbalimbali za kivita hususan zana za kinyuklia na zile za kibaiolojia, hakuna uvumbuzi wowote duniani ambao umefanikisha kupatikana kwa silaha hatari zaidi kama uume.
Mods tafadhali msifute uzi huu kwani utaongelea kweli tupu 100%
Wakati silaha...
Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani).
Malengo makuu ya mbinu hizi ni:
Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha
aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria.
Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda...
Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi (bila kuonesha vitambulisho) wakiwa na silaha za moto wamewakamata madaktari wawili, Dr. Chriss Cyrilo (kushoto) na Dr. Shindo Kilawa (kulia) wakiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar usiku huu.
Watu hao hawakutaja sababu za kuwakamata, zaidi ya kutumia...
Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga.
Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu.
Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu.
Kirusi icho inasemekana...
Aliyetengeneza hiki kirusi pengine hakujua kitasambaa kiasi hiki Nina uhakika hofu iliyopo Duniani kwa sasa dhidi ya Coronavirus ni kubwa kuliko Silaha za maangamizi ya Nuclear
Hakuna mwanadamu popote Duniani ataandamana kwa sasa
Hii itakuwa na athari ya muda mfupi juu ya uchumi wa Dunia...
Yaani tuchukulie mtuhumiwa wa ujambazi amekamatwa na Polisi, halafu wakati anawapeleka mafichoni kwa wenzake akaanza kuwakimbia Polisi huku akiwa hana silaha yoyote na akipiga makelele.
Je, kuna uhalali/ulazima wowote wa kumpiga risasi ya mgongoni na kumuua? Je, ndugu zake wanaweza kudai fidia...
Habari wanajamvini
Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
Wabunge nchini Burkina Faso wamepitisha kwa kauli moja muswada utakaowezesha raia wa kupewa silaha ili kupambana na makundi yenye ya waasi.
Muswada huo ambao sasa unasubiri kutiwa saini na Rais unalengo la kupunguza mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya al-Qaeda...
Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI ya mjini Stockholm imeonyesha China ni taifa la pili kwa uuzaji silaha ulimwenguni, likiwa na makampuni manne yanayoingiza mapato makubwa ya mauzo ya silaha.
Makampuni hayo manne ambayo ni pamoja na kampuni kubwa kabisa ya kutengeneza...
Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania.
Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
IRAN WILL NEVER HAVE A NUCLEAR WEAPON!
Washington (AFP) - Rais Donald Trump Jumatatu alirudia usisitizo wake kwamba Iran haitaruhusiwa kupata silaha ya nyuklia, huku kukiwa na mvutano juu ya mauaji ya Merika wa kamanda wa juu wa Irani.
Kuandika kwa herufi kubwa zote, kiongozi huyo wa...
Katika pita pita zangu za twitter kuna mdau katoa solution dhidi ya watekaji ambao tumewapa jina la watu wasiojulikana.
Anashauri kuwa wakati wa kuwa na silaha katika shughuli za harakati za kisiasa ni huu.ili wakitokea hao watekaji wapate kashkashi.
Je ni suluhisho?
Moderator naomba andiko langu lijitegemee, lisiunganishwe na nyuzi kadhaa zilizoandikwa humu kuhusiana na Rushwa za ngono kwa sababu maudhui yake ni tofauti kabisa.
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa nyingi zinazoandikwa kuhusiana na rushwa za ngono au manyanyaso ya kingono yanayofanywa zaidi na...
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani mjini Stockholm SIPRI, inasema uuzaji wa silaha uliongezeka kwa asilimia tano kote duniani mwaka elfu mbili kumi na nane. Ripoti hiyo inasema Marekani ndiyo nchi inayoongoza katika biashara hiyo na kwamba kutokana na soko lake, mapato ya...
Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia
Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.