silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

    Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kukutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyara za Serikali == Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman...
  2. Unadhani hawa Wanaume wangekosa hizi Silaha muhimu za Wanawake wangechukua Silaha zao zingine zipi wajikinge na CORONA?

    Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
  3. Uume: Silaha hatari zaidi ya AK-47

    Wakati dunia ikiendelea na uvumbuzi wa zana mbalimbali za kivita hususan zana za kinyuklia na zile za kibaiolojia, hakuna uvumbuzi wowote duniani ambao umefanikisha kupatikana kwa silaha hatari zaidi kama uume. Mods tafadhali msifute uzi huu kwani utaongelea kweli tupu 100% Wakati silaha...
  4. Z

    Mbatia ni silaha ya mwisho ya CCM katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani). Malengo makuu ya mbinu hizi ni: Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani...
  5. Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  6. S

    IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

    Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda...
  7. Kimara, Dar: Polisi wawakamata kwa uzururaji Daktari chriscyrilo na Daktari Shindo Kilawa

    Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi (bila kuonesha vitambulisho) wakiwa na silaha za moto wamewakamata madaktari wawili, Dr. Chriss Cyrilo (kushoto) na Dr. Shindo Kilawa (kulia) wakiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar usiku huu. Watu hao hawakutaja sababu za kuwakamata, zaidi ya kutumia...
  8. Tetesi: Virusi vya corona silaha mpya ya kibaiolojia toka Marekani

    Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga. Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu. Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu. Kirusi icho inasemekana...
  9. Coronavirus: Silaha ya kibaiolojia inayotumika kulinda sera ya ujamaa dhidi ya Sera ya kibepari ya maandamano

    Aliyetengeneza hiki kirusi pengine hakujua kitasambaa kiasi hiki Nina uhakika hofu iliyopo Duniani kwa sasa dhidi ya Coronavirus ni kubwa kuliko Silaha za maangamizi ya Nuclear Hakuna mwanadamu popote Duniani ataandamana kwa sasa Hii itakuwa na athari ya muda mfupi juu ya uchumi wa Dunia...
  10. Je, sheria inaruhusu kumuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anayewakimbia Polisi?

    Yaani tuchukulie mtuhumiwa wa ujambazi amekamatwa na Polisi, halafu wakati anawapeleka mafichoni kwa wenzake akaanza kuwakimbia Polisi huku akiwa hana silaha yoyote na akipiga makelele. Je, kuna uhalali/ulazima wowote wa kumpiga risasi ya mgongoni na kumuua? Je, ndugu zake wanaweza kudai fidia...
  11. Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Habari wanajamvini Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
  12. Machafuko: Raia Burkina Faso kupatiwa silaha kupambana na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya kigaidi

    Wabunge nchini Burkina Faso wamepitisha kwa kauli moja muswada utakaowezesha raia wa kupewa silaha ili kupambana na makundi yenye ya waasi. Muswada huo ambao sasa unasubiri kutiwa saini na Rais unalengo la kupunguza mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya al-Qaeda...
  13. P

    Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

    Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka. Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
  14. Utafiti: China yadaiwa kuwa taifa la pili kwa uuzaji silaha ulimwenguni

    Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI ya mjini Stockholm imeonyesha China ni taifa la pili kwa uuzaji silaha ulimwenguni, likiwa na makampuni manne yanayoingiza mapato makubwa ya mauzo ya silaha. Makampuni hayo manne ambayo ni pamoja na kampuni kubwa kabisa ya kutengeneza...
  15. Maneno: Silaha kubwa ya Mwanamke na jinsi inavyochangia Ukatili Majumbani "Domestic Violence" wakati ingeweza kutumika otherwise

    Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
  16. Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

    IRAN WILL NEVER HAVE A NUCLEAR WEAPON! Washington (AFP) - Rais Donald Trump Jumatatu alirudia usisitizo wake kwamba Iran haitaruhusiwa kupata silaha ya nyuklia, huku kukiwa na mvutano juu ya mauaji ya Merika wa kamanda wa juu wa Irani. Kuandika kwa herufi kubwa zote, kiongozi huyo wa...
  17. Je, kumiliki silaha ni suluhisho dhidi ya watekaji wasiojulikana?

    Katika pita pita zangu za twitter kuna mdau katoa solution dhidi ya watekaji ambao tumewapa jina la watu wasiojulikana. Anashauri kuwa wakati wa kuwa na silaha katika shughuli za harakati za kisiasa ni huu.ili wakitokea hao watekaji wapate kashkashi. Je ni suluhisho?
  18. D

    Madai ya Rushwa za Ngono Yasitumike Kukandamiza Wengine

    Moderator naomba andiko langu lijitegemee, lisiunganishwe na nyuzi kadhaa zilizoandikwa humu kuhusiana na Rushwa za ngono kwa sababu maudhui yake ni tofauti kabisa. Hivi karibuni kumekuwa na taarifa nyingi zinazoandikwa kuhusiana na rushwa za ngono au manyanyaso ya kingono yanayofanywa zaidi na...
  19. Uuzaji wa silaha waongezeka kote duniani yasema ripoti mpya ya SIPRI

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani mjini Stockholm SIPRI, inasema uuzaji wa silaha uliongezeka kwa asilimia tano kote duniani mwaka elfu mbili kumi na nane. Ripoti hiyo inasema Marekani ndiyo nchi inayoongoza katika biashara hiyo na kwamba kutokana na soko lake, mapato ya...
  20. Pakistani yafanya jaribio la kombora la nyuklia (Nuclear-Capable Ballistic Missile) siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio kama hilo

    Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…