Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII.
Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde...
Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja.
Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini.
Miaka...
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC)
Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC.
Ahmed Ally (Msemaji Simba...
GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa.
Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka!
Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa.
Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina...
Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu.
Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli...
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.
Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
Habari zenu wanakabumbu
Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo.
Hizi ndio timu kongwe nchini zenye mashabiki wengi kuliko timu nyingine za humu ndani.
Tetea timu yako kwa mazuri yake.
Pondea timu ya jirani...
Soma barua ya TFF
======
Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki.
Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.
Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia Yanga lazima inavyocheza lazima uichukie Simba? Au ukiifurahia Simba inavyocheza lazima uichukie Yanga...
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.!
Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama...
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yaani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa!
Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.