Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.
Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.
Kaa nami katika uzi huu...
Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Kuna jambo ambalo nilianza kulinotice msimu uliopita.
Nakumbuka kuna kipindi ambacho Simba akishinda 4, Yanga anashinda 4, Yanga wakifunga goli kama la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe, Simba wanakuja kufunga goli hilo hilo.
Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi za kwanza za Simba vs Power...
Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)?
Usipoteze kura yako.
Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu.
Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika.
Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga.
Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
Baada Ya hatua ya Makundi kwa sasa ni Robo Fainali, Timu zetu mbili za Tanzania zimepangwa na Wababe wa soka la Afrika.
Wengine wanasema hii ndo ilipangwa kuziangusha Tumu za Tanzania, Japo hakuna uthibitisho.
Wengine wamekuwa na mtizamo chanya na kuona kama Soka la Tanzania limekuwa, na...
Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X
Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni makundi mawili tu yanayoshiriki klabu bingwaa Afrika ndiyo yaliyoongoza Kwa kutoa namba kubwa ya online...
Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia
Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa miamba iliyoingia CL ni kadi mbili tu ambazo zimepata engagements kubwa sana
Na hapa namanisha...
Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa goli mbili bila dhidi ya El Merreikh ya Sudan.
Bila kumumunya maneno, ni wazi Yanga na Simba...
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.
Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.
Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri.
Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.
Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.
Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda
Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi
Je, pana uwezekano wa kupiga pesa?
Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!
Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.
Kama kila...
Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati?
Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana?
Je, lengo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.