simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  2. D

    Matola ndiye alikuwa kirusi cha debi ya Simba na Yanga kiufundi bora abakie aliko

    Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana! Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu! Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima! Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
  3. benzemah

    Kwa Simba na Yanga, Mayele ni "mfalme" uwanja wa taifa kwa Mkapa

    Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja. Baada ya kukosa tuzo ya ufungaji boramsimu uliopita iliyokwenda kwa George Mpole (Geita) kutamba na kumaliza msimu aki wa...
  4. JanguKamaJangu

    Siku moja kabla ya mechi, Viongozi wajuu wa Simba na Yanga wakutanishwa Ikulu na Rais Samia, Aprili 15, 2023

    Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga, Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto...
  5. D

    Hivi ndivyo Simba na Yanga Jumapili hii hapa! Atakayefugwa kapenda mwenyewe kwa uzembe!

    Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe! Atayefungwa kataka mwenyewe! Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira...
  6. D

    ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  7. SAYVILLE

    Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  8. Thailand

    Kwa maslahi makubwa ya nchi mechi ya Simba na yanga ipelekwe mbele kupisha mashindano ya kimataifa

    Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili. Wapizani wa Simba na Yanga pia wapo kwenye tension kubwa namna gani kuzicheza mechi zao na hizi timu ambazo kila...
  9. 44mg44

    Kulinganisha Simba na Yanga ni sawa na kulinganisha mwanafunzi wa chuo kikuu na alifeli form two

    Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa. Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
  10. mugah di matheo

    Kapombe, Zimbwe JR waitwa Stars haraka kuiwahi Uganda

    Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
  11. aka2030

    Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

    Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema Huu ni ubaguzi Hata kama hizi club asili yake...
  12. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  13. William Mshumbusi

    TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
  14. J

    Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  15. THE FIRST BORN

    Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  16. D

    Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

    Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili! Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na Monastir ugenini! Wale wazee wa mikeka ya Sokabet, Nipeni muongozo maana nataka nipige zangu pesa tu...
  17. kavulata

    Ili Simba na Yanga zitoboe ziache kuombeana mabaya mechi za kimataifa.

    Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi kuhujumiana kwenye mechi za kimataifa. Ili mpira wetu ukue lazima timu zetu zifanye vizuri...
  18. covid 19

    Wasemaji wa team ya Simba na Yanga wamenishangaza sana leo!

    Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa. Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja. Ajabu wapo bize kwenye press wakijiandaa kwenye kampeni kubwa kuanzia jumatano za kupita mtaa kwa mtaa ili kupata washabiki...
  19. ChatGPT

    Kuanzia Leo: Kusiwe na Simba wala Yanga 🤔

    Hakuna shaka kwamba Simba na Yanga ni timu za soka za kihistoria zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Timu hizi mbili zimekuwa na ushindani mkubwa kwa zaidi ya miaka 80 sasa na wamekuwa wakipambana kwenye uwanja wa soka kwa kiwango cha juu sana. Watu wengi wamekuwa wakishabikia...
  20. HIMARS

    Goli la Mama: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF

    Rais wa Tanzania amesema atatoa Tsh 5mil kwa kila goli litalofungwa na hizo timu tajwa, mwishoni mwa wiki hii, watakapokuwa wakicheza michezo yao ya Kimataifa. Hayo yamethibitishwa na Msemaji Mkuu wa Serikali; ******* Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kununua kila goli kwa Sh5 milioni...
Back
Top Bottom