simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Bacca kuikosa derby?

    Kuna taarifa zinasambaa mtandaon baka kuikosa Derby Ana majerahaaa wenye ushahidi yujuzane tusipoteezee muda kwenda uwanjan kabisa
  2. Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

    Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda. Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
  3. Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

    Klabu kongwe nchini, Simba Sports Club imeingia vitani na watani zao Yanga Afrika kwenye kinyang'anyiro cha kuzisaka saini za mastaa wa klabu hiyo yenye makao makuu yake Jangwani jijini Dar Es Salaam Pacome Zouzoua na Khalid Aucho. Mastaa hao tegemezi katika kikosi cha kwanza cha Yanga...
  4. Akili za Wachezaji wa Tanzania ziliwaza Game ya Simba na Yanga Tarehe 19

    Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi. Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga...
  5. Simba imewahi kufungwa Mara 5 mfulululizo na watani zao Yanga

    Katika hali isiyo ya kawaida, Jamii imeaminishwa kuwa kama Yanga atashinda mchezo wa Jmosi dhidi ya Simba basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa hawa Watani mmoja kufungwa mara 4 mfululizo. Lakini Historia inaonesha Simba amewahi kuchapika mara 5 mfululizo bila sare yoyote ile na hapo game 1 Simba...
  6. Kilichowakuta Team ya Nigeria Libya hawana hamu. Simba mjiandae. Ndo mtawaelewa Waarabu

    Ila waarabu. Nimewavulia kofia. Nigeria wameona cha mtema kuni humo Libya baada ya kukarishwa airport kwa masaa 16 bila huduma yoyote. Wakiwa wamefungiwa. Hakuna hata WIFI. Hii ni zile harakati za kila mara za Waarabu. Siku zote ukienda cheza na Waarabu ujue huwa ni wakatili sana katika games...
  7. Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

    "Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi #FutbalPlanetUpdates
  8. Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  9. Uwanja wa Bunju haujakamilika, unazungumzia viwanja vitano, swimming pool. Je, huu sio uwendawazimu?

    Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele ๐Ÿ˜€ Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa, Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa...
  10. U

    Mzee Mwandiga adai kanuni ya asili inaipa ushindi goli zisizopungua 4 klabu ya Simba katika mechi yake na Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo. Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli...
  11. Tbt Uzinduzi wa jengo la Simba SC na kubadilishwa kwa jina la Club kutoka Sunderland na kuwa Simba SC

    #MnyamaTBT | ๐Ÿฆ๐Ÿฆ Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971. Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki...
  12. Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya Kariakoo tangu 2010

    ๐Ÿ“Š ๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ๐—”๐—ž๐—ข๐—ข ๐——๐—˜๐—ฅ๐—•๐—ฌ Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya kariakoo tangu 2010 . โšฝ 3 - Stephane Aziz Ki ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ โšฝ 3 - Shiza Kichuya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โšฝ 3 - Amissi Tambwe ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ โšฝ 3 - Emmanuel Okwi ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ โšฝ 3 - Hamisi Kiiza ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ โšฝ 3 - Mussa Mgosi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โšฝ 3 - Jerry Tegete ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โšฝ 2 - Simon Msuva ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โšฝ 2 - Meddie Kagere ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ โšฝ...
  13. Kwanini Simba hawajampost Rais wa shirikisho la vilabu Afrika wala pongezi kwa birthday ya Kikwete?

    Hivi taasisi muhimu na nyeti, inaachaje kutoa salamu za pongezi kwa kiongozi mkuu mstaafu? Tena mwanamichezo na mtu muhimu kwenye soka la Tanzania? Bado haitoshi, Rais wa shirikisho la vilabu Afrika maana yake pia ni Rais wa Simba ameenda Ulaya kushiriki katika mkutano na shirikisho la vilabu...
  14. Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

    Embu tuweke utani pembeni. Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu. Kuna timu zimeweka mnyama wao katika...
  15. Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
  16. Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

    Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika. Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
  17. Wachambuzi na wanahabari isemeeni Taifa Stars zaidi kuliko Simba na Yanga

    Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda timu yao? mnasubiri kulipwa ili kuichambua na kuhamisha watu kuipenda na kujaza viwanja wakati wa...
  18. Ushindi wa Simba kwa Yanga upo hivi

    Kwa wanaohusika huko Simba Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro. Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
  19. Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

    Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo. Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga...
  20. Maono yangu kuhusu mpira mwaka huu World Wide

    Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT) 1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL. kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ