simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wana Simba tusikate tamaa timu iko vitani bado

    Kuanza kuisema sema timu yetu vibaya na kuanza kushambulia kocha kuwa alichelewa kufanya sub, kwamba Zimbwe ameshazeeka hana uwezo wa kumweka benchi Nouma, mara Ngoma alichoka na ilibidi Mavambo aingie, sijui Ahoua hana uwezo wa kuwa MVP anacheza slow sana, maneno kibao baada ya sare ya leo...
  2. THE FIRST BORN

    Fadlu kaharibu game ya leo

    Kocha badala aelewe goli alilopata limetokana na foul ya Mchongo so awahimize wachezaji na awaite awakumbushe makosa wanayofanya au afanye Substitution ya Ateba na Mpanzu maana second half walikua Liability tu..na Azam alionekana ana dominate sana... Lenyewe baada ya goli likawa linaonyeshwa...
  3. Dalton elijah

    Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC

    Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC MZIZIMA DERBY 🔥! Simba na Azam wametupa mechi bora sana ✅! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi 🔥 4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na 2-4-1-3(CBs then FBs wanacheza pembeni ya Ngoma na Kagoma then Ahoua juu yao kisha Kibu, Ateba na...
  4. M

    Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  5. Full charge

    TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  6. Its Pancho

    Simba walichezea nafasi na sasa wanalia lia hovyo, nani alaumiwe?

    Wakuu, Simba walichezea nafasi waliyopata na sasa wameanzisha propaganda kubwa sana Kila timu ikifungwa na yanga basi ni udhaminj wa GSM na urafiki wa GSM. Hizi ni hoja mfu sana. Wakati wa game yao na Namungo mgunda kocha kindakindaki wa simba alionekana wazi akifurahia wao kufungwa mpaka...
  7. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  8. Mkalukungone mwamba

    FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Simba SC VS Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025 | Saa 1:00 Usiku. Wafungaji wa magoli Simba > Elie Mpanzu dakika, 25 Abdulrazak Hamza dakika, 76 Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1 Zidane Sereri. Dakika,88
  9. Saint Ivuga

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Kampuni ya Umbro yaomba tenda ya jezi Simba SC

    Nimepata taarifa kuwa kampuni ya kimataifa ya Umbro ni moja ya wazabuni walioomba tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi ya klabu ya Simba Sc Zingine ni kampuni kutoka China, Sandaland Theonly One, na Vunja Bei
  11. ngara23

    Simba kudondosha points mechi zote 3 zijazo

    Simba ana mechi ngumu zijazo Hizo mechi zote anaenda kudondosha alama 7 24 February Simba vs Azam Licha ya undugu wa damu alionao Simba na Azam. Naamini hii mechi Azam atamkazia Simba ili aweze kushika nafasi ya pili na kucheza CAFCL sio UMITASHUMITA shirikisho Na Azam wana hasira, baada ya...
  12. GENTAMYCINE

    Clatous Chota Chama pole sana na hao ndiyo Yanga SC ambao ulidhani kwenda Kwao ungetukomoa Simba SC iliyokujenga na kukupa Thamani Kubwa

    Ikifukie ya kwamba..... 1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga 2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC 3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC 4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC 5. Chama amekuwa Mpweke 6. Chama muda wake...
  13. GENTAMYCINE

    Ole wenu Uongozi wa Simba SC mumrudishe Mnafiki na Msaliti mkubwa Clatous Chota Chama Msimu huu ukimalizika

    Nina taarifa za uhakika kuwa ameshawaomba Radhi Waandamizi wa Simba SC na kuomba kurejea Simba SC 2025/2026.
  14. GENTAMYCINE

    Maulid Kitenge kama kawaida yako Chuki, Wivu na Unafiki dhidi ya Simba SC vinakumaliza

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF. Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
  15. Pdidy

    Kila mechi za Simba kuna kadi nyekundu, rejea Fountaine Gate. TFF kuna nini kinaendelea, si msitishe ligi muwape ubingwa msitese wachezaji?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba. Sio lazima wamalize hii ligi yenu ya kihuni.
  16. ngara23

    Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

    Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa Yanga ni kubwa mtafungwa tu Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union, Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu...
  17. M

    Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

    Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi! Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,, Tutaendelea kukusanya...
  18. M

    Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

    Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati! Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na...
  19. S

    Wanasimba wenzangu kwa mazingira yaliyoonekana Leo uwanja wa KMC kwa mtu mzima kubebwa dhahiri shahiri tusiwe sana na mategemeo ya ubingwa

    Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na...
  20. M

    Tathimini yangu: Machi 8, 2025, Simba itaifunga Yanga goli 3 hadi 5

    Kwasasa Simba imeshajipata. 1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive 2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga 3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga 4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia...
Back
Top Bottom