Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma.
Taarifa ya Bodi Ligi
Wonder Boy Chasambi nakupa hongera sana kwa kurudi kibabe mchezoni baada ya kujifunga kwa bahati mbaya na kupelekea majonzi makali kwa mashabiki wa Simba na kupeleka furaha kubwa kwa mashabiki wa Yanga.
Ulitukanwa sana, ulidhihakiwa sana na walitaka kukutumia wewe kama ngazi ya kupeleka tafrani...
Simba SC VS Tanzania Prisons
| NBC Premier League
| KMC Complex
| 11 Februari, 2025
Saa 10:00 Jioni
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
2' Simba wanapata Kona na inapigwa na Mpanzu
3' Simba wanapiga Kona ya pili
4' Sabiyanka anaoneshwa kadi ya Njano
7' Simba...
Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa.
Kudadadeki....!!!!!!!
Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
Hawa wawili ni full backs Bora kabisa kuwahi kutoka hapa Tanzania ( ila tukubaliane kazi na umri shehe )
Wametumika na makocha wengi kwa mda mrefu na Bado wanaendelea kutumika ( hili ndilo AMBALO Mimi nalikataa na nitalipinga daima )
Just imagine, kwenye mechi za kimataifa ni wao, NBC wao, fa...
Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa.
Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo...
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea...
Takwimu za penati katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo hadi sasa timu zote zimecheza michezo 16.
Simba SC inaongoza kwa kufunga magoli mengi ya penati ikifuatiwa na Tabora United na Coastal Union.
Yanga SC na Namungo FC ndio vinara wa kukosa penati, kila timu ikiwa imekosa penati...
I salute you kinsmen.
Kwa kweli kwa sisi tulioona mbali tangu muda tulipinga sana kufukuzwa kwa Gamondi. Mkatuona mazuzu kwamba tunamkubali sana noo. Sisi ni yanga sio Gamondi wala Hersi.
Tatizo lilianzia pale alipofukuzwa yule mzee na team ikiwa imeshaclick kabisa kisa kupoteza game chache...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro.
Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC inamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa.
My take
YANGA SC...
I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..!
Kama umefuatilia hii ni mechi...
Wanajukwaa Kwema!
Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.
Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya...
Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.
1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana
2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.
Mods shikiria hapo hapo.
Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.