simba

  1. Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

    Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea.... Nina uhakika hata Trump anachofanya anaelewa detriment kwa taifa lake in long term ila hajali (ni populist na mpenda...
  2. Ni kawaida Matola kuwakazia Simba SC akiwa na Timu nyingine, ila siyo kwa Mnafiki na Mnazi Kally kuwakazia waliotupwa CAFCL

    Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
  3. Simba Yanga wanastahili zaidi kwenye mapato.

    Kuna wakati utamsikia Mtu anakwambia Tanzania kuna Washabiki wengi wa mpira wa miguu,hii si kweli hata kidogo bali Tanzania kuna Usimba na Uyanga usiohitaji hata kushabikia mpira wa miguu au soka.Kwa hali hii ningeshauri kufanyike ubunifu zaidi wa mapato kupitia utajiri huu wa wafuasi...
  4. Leo Baleke ni wa kucheza ndondo Magunia Msasani? Tukana/Kashifu watu wote ila siyo Wazee wa Simba SC kwani huwa hatanii wakikuamulia

    Halafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
  5. Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

    Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu. Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
  6. Mechi ya Simba SC na Dodoma Jiji yasogezwa mbele, Kikosi cha Dodoma charejea nyumbani

    Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma. Taarifa ya Bodi Ligi
  7. Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

    Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza. Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi...
  8. M

    Wataalamu wa 'Vijiti' ndio watakaoipa ubingwa Simba au Yanga msimu huu, hakuna tena ufundi uwanjani

    Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
  9. Hauhitaji kuwa 'genius' kujua Simba ni bingwa msimu wa 2024-25

    Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku ni kujipa magonjwa ya moyo na sonona bila sababu ya msingi. Niwatoe matumaini wale wote wenye...
  10. M

    Mashabiki wa Simba sc: "Ladack chasambi hatukudai na tumekusamehe"

    Nguvu moja Mara baada ya wanajeshi kuwatoa jasho vyura. Mwalimu Fadlu muanzishe last born wetu hapo kesho dhidi ya walinzi wa jela
  11. Ahmed Arajiga kwanini hapewi kuchezesha mechi za Simba?

    Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe. Simba wamekuwa walipewa waamzi...
  12. R

    Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  13. Simba SC ikishinda Magoli ya Penati anachekwa iweje nao leo wanalilia kunyimwa Penati?

    Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa. Kudadadeki....!!!!!!!
  14. Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  15. Hawa azam tv wanashida gani lakini wanaiwaza Simba tu

  16. Simba, Yanga na TFF walamba fidia ya jezi feki. Azam walitoa oda jezi zao feki zichomwe moto

    Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
  17. Simba mliacha kuandaa timu mkaenda Dodoma kwenye sherehe za CCM

    Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
  18. Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

    Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
  19. Wakati yanga wana screen protector(Diarra) simba mkaleta tapeli na kulipa jina spider.

    I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake? Ifike muda...
  20. Wapinzani wa Simba, Yanga, Azam Kome la Shirikisho la CRDB wawekwa wazi

    Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…