Mara nyingi katika mazingira fulani ambayo hatukutarajia na kwa namna isiyoeleweka kabisa ndipo tunakutana na watu wetu sahihi wakati mwingine hata tukiulizwa tulikutana wapi au tulifahamiana wapi inatubidi kusema uongo kwasababu mazingira na namna ile tulivyokutana watu watatushanga'aa sana😀...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa.
Trump aliwakilishwa na Elon Musk kwenye mazungumzo hayo na Iran iliwakilishwa na Balozi wa Iran...
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba
Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba
Za watoto
Za kike
Na kiume
Bei nafuu
Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu
Nguo...
Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race...
KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka
Tangulia kitandani kavurunge alivyotandika jifanya umelala na umetawanya miguu yako maana akija kulala akute umevurunga shuka atakuambia umke atandike vizuri kitanda😀📌
Uwe kama ulikuwa umesinzia ujinyooshe😀 kisha uvute shuka, duvet ulilokuwa umejifunika...
Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao.
Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
Ni hivyo tu, ya huku yaache huku, madaraka yasikutoe ubinadamu na utu, huyo uliyemtuma ajifanye anajua kurekodi tunamjua.
Cheo kisikutoe utu, na ulipewa ukakikataa
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza...
Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile.
Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ
1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka
2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...
Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW
Unaamua...
Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo.
Kaburi ni kama...
Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli hii eneo lina barafu na hao viumbe tu na hakuna kitu kingine kilichojificha, viasharia vinaanza...
Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp.
Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi.
Je ni kampuni za simu pekee ndio...
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.
Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.