Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
Hakuna usiri wala faragha katika mitandao ya kijamii au jukwaa la mtandao kwa ujumla.
Wakishindwa kupata mawasiliano yako katika mtandao fulani wanaupiga vita.
Mliona CEO wa Telegram amekamatwa kwa kutaa kutoa access kwa serikali kuwa wanaona chat za wateja wao.
Hii inanifanya niwaze...
Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani anapojichukuliaga point 3 muhimu katika mkakati wake wa kuzivamia na kuzivuruga ndoa nyingi).
Sasa basi,kwa...
Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008.
Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee.
Nimetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi...
Katikati ya mwaka 2015, Juma alikuwa amehamia Singida kwa ajili ya kazi yake. Alimuacha mkewe Iringa alipokua akifanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya wazungu. Baada ya mwaka Moja kupitia juma aliamua kumchukua mkewe na kuishi nae mjini Singida. Baada ya miezi kadhaa, mkewe alipewa zawadi ya...
Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,
Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa...
Mnaendeleaje huko?
Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi.
Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa kuwaunganisha kina watakaye ili kumuona mama Wau.
NB: Picha hapo juu ni ya mmoja wa wasaidizi wa Rais.
THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW
NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU
👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana kuwa ndio Chanzo Cha kilakitu tukaiita MUNGU Katika dini/ENEGY kisayansi,ROHO katika Asili ama...
Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025.
Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
Hadithi ya kuvutia sana
Soma mpaka mwisho...utajifunza kutunza siri.
Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza.
Mteja: Je, chumba namba 39 kiko wazi?
Bosi: Ndiyo, bwana.
Mteja:Naweza kukiomba?
Bosi: Bila shaka unaweza...
Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake.
1...
Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono.
Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.
2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.
3.Siri ya mafanikio ya...
Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana.
Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri.
Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana.
Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako?
Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match
Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
"Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu.
Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au watatu wa kwenye koo hiyohiyo na wengine wasijuwe. Pia kuna koo ambazo zina siri ya ukoo mzima na...
Ndugu Msomaji,
Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio.
Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok.
Kitu Ambacho Kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha Yangu Mpaka Leo.
Dan Lok Alifanya Utafiti wa Kisiri na Akagundua Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.