Jamaa yangu anaefanya kazi bank kubwa Tanzania kaniibia siri

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine.

Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana mpunga mrefu kuzidi hata hao watu maarufu unaowajua!"

Huyo DAB akaunti zake zina mpunga mrefu kuzidi hata msanii mkubwa 💎

Ananiambia kifua kipana wa Rufiji kwasasa ni levo za kina GSM.

Kuhusu boss wa Timu ya mpira ananiambia huyo ni kama alivyokua Mengi miaka ile.

Kuna watu akaunti zao zote ukijumlisha zinasoma hadi T3
 
Aiseeee inasikitisha Sana.

T3 akiamua kukaa bila kufanya kazi wanakula hadi kizazi chake cha tano na hawazimalizi.
 
Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine.

Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana mpunga mrefu kuzidi hata hao watu maarufu unaowajua!"

Huyo DAB akaunti zake zina mpunga mrefu kuzidi hata msanii mkubwa [emoji184]

Ananiambia kifua kipana wa Rufiji kwasasa ni levo za kina GSM.

Kuhusu boss wa Timu ya mpira ananiambia huyo ni kama alivyokua Mengi miaka ile.

Kuna watu akaunti zao zote ukijumlisha zinasoma hadi T3
Hivi kwanini watu wengi ni alarmists na waongo? Huwezi ku-view account za watu wengine kwenye benki tofauti tofauti hata uwe branch manager au mfanya kazi wa benki hiyo.......acheni kukatisha watu tamaa hata Raisi 3trioni anaosikia tu kwenye kusoma bajeti hajawahi kuiona.
 
Acha utetezi usiokuwa na kichwa, mbogamboga ni majizi tu.
 
Back
Top Bottom