Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ukute na Ile 2 B iliingia kwenye koti la mtu Kisha now kontent kirieta wanaambiwa walipie lesen kwa 50k
Serikali haijui kuthibiti matumizi yake ndio maana kila leo wako nje na ndani kukopa [ hati fungani kila kukicha] na kuwaongezea maumivu wananchi kwa kodi zisizoeleweka!! This is a very irresponsible government which has to be replaced!Mkuu naiskia sasa hivi watumishi mnapata posho nje nje safari kama zote