Ipi ni njia nzuri kwako kujilinda kati ya deterrence (ulinzi wa kutisha) na concealment/ low-profile defense (ulinzi wa siri)

Ipi ni njia nzuri kwako kujilinda kati ya deterrence (ulinzi wa kutisha) na concealment/ low-profile defense (ulinzi wa siri)

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Je, unaonesha nguvu kama kinga yaani unafanya deterrence/intimidation strategy ili watu wasikusogelee, ama unafanya concealment/low profile defense ili adui akija kichwa kichwa umfanyie kitu kibaya?

Wanajeshi wa JWTZ hupendelea intimidation strategy. Wamepasua sana tofauli kwa nyundo kwenye vifua, pia wameonesha jinsi gani walivyokuwa na uwezo wa kufanya usafi (kifagia) katika maeneo mbalimbali pindi wanapohisi hatari.

secretarybird napendelea kufanya mazoezi kwa Siri ilikusudi adui akijichanganya nimnyooshe kama rula. Machoni pa watu naonekana wa kawaida lakini ukizama kwenye 18 zangu umekwisha.

Je wewe unatumia mbinu gani kujilinda?

ELI COHEN,
mcTobby.
 
I don't fight but they fear me
images.webp
 
Back
Top Bottom