Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania,

Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k.

Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni ganzi ya kawaida lakini ukija kuangalia sehemu za siri zimebaki ndogo sana, shaft inakuwa imepotea kilichobaki ni kichwa tena kwa mbali,

Hakuna taarifa rasmi ya sababu kuu ya wezi kufanya haya lakini kuna tetesi huzikodisha kwa wahitaji, huuza nguvu kwa wasio nazo, n.k.

Njia ya kinga ambayo imekuwa ikitumika hadi sasa bila uhakika kamili kwa maeneo yaliyokumbwa na kadhia hii ni kuzungushia rababndi kwenye pini ya nguo kish kuivaa kama saa ya mkononi.

Maeneo ambayo hadi sasa yameripotiwa

Tunduma - Hali ipo juu sasa, diko mambo yalipoanzia kwa kasi, watuhumiwa walipokamatwa watum wahanga walienda kituo cha polisi kukiri sehemu zao zimeibiwa na kuwaomba watuhumiwa kama kuna njia wawarudishie

Mbeya - Siku ya jana wameua mtuhumiwa anaeiba sehemu za siri

Sumbawanga
Dar Es Salaam - Siku ya jana kuna mtuhumiwa kakamatwa Kimara

View: https://www.youtube.com/watch?v=M6tVQbAZi1w



 
wanakuja kuthibitisha uchawi

Hawaibi kila tupu/uume hawa jamaa inasemekana wanaangalia uume ambao upo active yaani uume wa mwanaume kweli ule ambao unafanya kazi kisawa sawa

kama wewe ni kibamia au kimoja chali aisee umesalimika 😂

Wanaume mashine, matango na ma-nchi 7.5, 8 mpaka 9 na kuendelea ndio wanaibiwa tupu zao

Je? Wanazipeleka wap? Daaah 😂

Bongo ilivyokuwa hali mbaya wangepita kuchukua vibali serikalini tu na waseme wanapita kununua tupu kwa style hiyo hiyo ya kimiujiza baadhi ya watu wangeuza
 
Wamatumbi ,Wamatumbi, huwa tunaishi na shidaya afya ya akili kawaida kabisa🤔
Mtume Muhaammad aliporogwa kupoteza kumbukumbu ni uchawi lakini watu wa huku wakifanyiwa uchawi ni kukosa akili

Yesu alipokuwa akiwatoa watu mapepo tunaamini watu walirogwa na uchawi lakini watu wa huku wakifanyiwa uchawi ni kukosa akili
 
20260404_004746.jpg
 
hata supporters wa uchawi siwaoni wakisema vyombo vy habari viende live, tushuhudie mizigo haipo

hivi hii si ushahidi wa chapu
Siwaoni kabisa mkuu, hili sijui kwa nini wamelikataa wakati huwa wanadai uchawi una weza kufanyia chochote 😁
 
Back
Top Bottom