zachariano alexido
Senior Member
- Mar 10, 2026
- 178
- 460
Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.
Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.
Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.
Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu.
Eti baada ya kisanga alikimbilia morogoro kwa dada wa mumewe yani wifi!
Yani umeua kaka WA mtu alafu unaenda kwa dada yake, hapo, inaonesha huenda hakudhamiria,
Alafu utata WA kuwa angewezaje kuubeba mwili peke yake, kumbe baada ya kujua jamaa kafariki alimuweka kwenye begi akichanganya na nguo, akaita vijana wawili WA carry wamsaidie kuubeba hakuwa peke yake, hao vijana hawakujua kinacho endelea, alipo fika kule aliweka mwili ndani na ulikaa siku mbili aliwalipa watu wachimbe shimo alilodai ni la taka, kwenye kuuzika mwili, aliburuta MWENYEWE ila kwenye kufukia shimo lilimshinda baada ya kuumia mkono, hivo alimuita rafiki yake amsaidie, nadhani mpaka hapo ndo likabumburuka.
Pia soma