AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Rafiki yake anaitwa nani au ndio wewe rafiki yake?NDIO ALIUMIA MKONO NDO MANA AKAMUITA RAFIKI YAKE ASAIDIE KUFUKIA MWILI
Rafiki yake anaitwa nani au ndio wewe rafiki yake?NDIO ALIUMIA MKONO NDO MANA AKAMUITA RAFIKI YAKE ASAIDIE KUFUKIA MWILI
Ngoja Mshana Jr nimpe wazo afungulie uzi wa washirikina na waganga uzi maalum special thread yaan uzi muhimu kwa masuala ya waganga na washirikina, Mzee wa kilinge Msata hajawahi kufeliMambo ya ushirikina yanapendwa sana..!!
Bora kuwe na jukwaa lake
Zaeni kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima km hiiChangamoto ya kutopata mtoto inazidi kukua couples nyingi sahv zina struggle kutafuta mtoto
Na hii ni moja migogoro mikubwa hasa kwa watu ambao tayar wamefunga ndoa
HAHAHAA MKU ACHA HIZO UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA TUSIJE PEANA MATATIZO KAKA SIO POARafiki yake anaitwa nani au ndio wewe rafiki yake?
MUNGU ATUSAIDIEChangamoto ya kutopata mtoto inazidi kukua couples nyingi sahv zina struggle kutafuta mtoto
Na hii ni moja migogoro mikubwa hasa kwa watu ambao tayar wamefunga ndoa
USINGO MAZA NA MARADHI YATATUUA SANA KAMA UNA OWA WE OWA TU MAMBO MENGINE MBEL KWA MBELEZaeni kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima km hii
Hakujua kama ni sumuWapate mtoto? Nani alikuwa ana tatizo la uzazi? Kama mwanamke ana tatizo si unamuacha fasta na kwenda kuoa mwingine mwenye kuzaa, na kama mwanaume ana tatizo hilo si unamuacha tu au unachepuka kwenda kupata mimba nje na kuja kumzalia huku mume akijua ndiye yeye aliyetia mimba. Kingine unaruhusu ndugu au rafiki yako aje mjaze mkeo mimba upate mtoto ndani ya kaya yako, mbona simple tu kuliko kutiliana dawa za sumu?
Huyo ni muongo na kutafuta huluma kwa jamii kama alivyo mpa iyo dawa akajua amefariki kwa nn asilipoti police yeye akachukua maamuzi yake ya kuuzika mwiliBaada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.
Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.
Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.
Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu.
Eti baada ya kisanga alikimbilia morogoro kwa dada wa mumewe yani wifi!
Yani umeua kaka WA mtu alafu unaenda kwa dada yake, hapo, inaonesha huenda hakudhamiria,
Alafu utata WA kuwa angewezaje kuubeba mwili peke yake, kumbe baada ya kujua jamaa kafariki alimuweka kwenye begi akichanganya na nguo, akaita vijana wawili WA carry wamsaidie kuubeba hakuwa peke yake, hao vijana hawakujua kinacho endelea, alipo fika kule aliweka mwili ndani na ulikaa siku mbili aliwalipa watu wachimbe shimo alilodai ni la taka, kwenye kuuzika mwili, aliburuta MWENYEWE ila kwenye kufukia shimo lilimshinda baada ya kuumia mkono, hivo alimuita rafiki yake amsaidie, nadhani mpaka hapo ndo likabumburuka.
Mzee akapona kwenye tundu la sindano 🤣🤣🤣HIYO MICHEZO WANAYO WANAWAKE SANA, BABA YANGU ALISHA WAHI NAMBIA MAMA YANGU ALIMUWEKEAGA SUMU NA ALITAKA KUMUUA, NILIPO MUULIZA MAMA, AKANIJIBU SI KWELI YEYE ALIWEKA DAWA YA KIENYEJI ILI MZEE AACHE POMBE ALIKUA MLEVI SANA
Jana nikasikia story nyingine, Mwanamke kaenda kwa mganga kuchukua dawa ya kumkomoa mumewe asilale na michepuko, wivu ni mbaya sana, basi Mganga kampa dawa lakini ubaya kumbe dawa aliyopewa imeenda kuua kabisa utendaji kazi wa mumewe sasa hivi asimamishi tena kwa hio yeye hagongwi na jamaa nje hawezi tena kwenda kugonga maana jamaa hasimamishi tena kitu kimerudi ndani, sasa hii ina faida gani?USINGO MAZA NA MARADHI YATATUUA SANA KAMA UNA OWA WE OWA TU MAMBO MENGINE MBEL KWA MBELE
Wifi yake haruhusiwi kukaa morogoro, je UKISIKIA wifi unazani ni dada wa damu wa MAREHEMU je kama alikua rafiki wa kike wa marehemuMorogoro ni kwao na wala sio kwa wifi yake
Acha ujinga basi, dawa gani wakati marehemu ana watoto?NDIO ALIUMIA MKONO NDO MANA AKAMUITA RAFIKI YAKE ASAIDIE KUFUKIA MWILI
Kinyume chake kama huna hela utagongewa na wenye nazoHii tabia ya kutiliana dawa kwa siri ipo sana tu kwa wanandoa/wapenzi. Mwingine humtilia dawa ili asimuache. Mwingine humzindika mke/mume wake ili asipate wazo la kuchepuka. Kuna jamaa mmoja alipogundua mke wake humtilia dawa/ulogi akaachana naye fasta kabla madhara kutokea. Hata limbwata ni aina ya ulogi/dawa za kupumbazwa ndoani/mapenzini. Bora siku hizi kama huna hela hakuna mwanamke anayehangaika kukuloga/kukutilia dawa ili akudhibiti usifurukute na kuona wanawake wengine wazuri nje
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ leo mtaniuaMax aanzishe jukwaa la washirikina na waganga wa kienyeji..!!