Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

kumbe baada ya kujua jamaa kafariki alimuweka kwenye begi akichanganya na nguo
Mmhhhh hapana ukweli hapa!!!
Mwili wa mtu uingie kwenye bag uchanganywe na nguo? Hilo beg la aina gani na ukubwa gan na hizo nguo ni za wananchi wangapi? Watu wa carry hawazidi wa4 how come? Hii haijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom