Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
dah!Changamoto ya kutopata mtoto inazidi kukua couples nyingi sahv zina struggle kutafuta mtoto
Na hii ni moja migogoro mikubwa hasa kwa watu ambao tayar wamefunga ndoa
dah!Changamoto ya kutopata mtoto inazidi kukua couples nyingi sahv zina struggle kutafuta mtoto
Na hii ni moja migogoro mikubwa hasa kwa watu ambao tayar wamefunga ndoa
😄😄😄 hapo sasa inabidi marehemu aulizweKwamba inawezekana alikuwa na Nia Njema, Je, alishirikiana na Marehemu?
BADO SIJAELEWA MNA MANISHA NINI MAANA YANGU ILIKUA NJEMA TU, TUANGALIE NA UPANDE WA PILI NDIO BUSARA ALAFU TUCHAMBUE YANAYO TUFAA LAKINI TAYARI MSHA NIBATIZA ETI MIMI NIKO UPANDE WA MIUWAJI KWELI MKO SAWA?Wewe ndugu yake umekuja kumtetea ukidhani kesi ya mauaji inaisha Leo? hata hivyo huo utetezi wako ungedubiri kwenda kutoa mahakamani lingekuwa la mbolea zaidi hapa si sehemu sahihi
Hapana, unatakiwa kukamatwa. Kuna jambo unafahamu ambalo askari polisi unaweza wasaidia kabisaMZAHA SI MZURI HUU KAKA
UNAJUA AMEKAA NA MWILI SIKU NGAPI? HUYO NI MWANAMKE UNAAMBIWA ALIKUA ANA BURUTA MWILI ATA KUZIKA ALITUPIA TU KWA SHIMO SASA HUO MWILI UTAKUWA SAWA MKUU? ALAFU KAMA WALIGOMBANA MBONA MAJIRANI HAWAKUSIKIA PURUKUSHANI HATA KELELE ZA MAJIBIZANO?Majeraha yalitoka wapi?.
Inawezekana mkuu pia inasemekana alichanganya na nguo ili wasijueHaiwezekani mtu wa carry abebe begi zito bila kuwa na wasiwasi ,mwili kama ule si chini ya kilo 80.
Huyo dada alishirikiana na Wakora na akawalipa kwa kazi hiyo.
Mbona idadi ya raia inaongezeka kwa kasi sasa??Changamoto ya kutopata mtoto inazidi kukua couples nyingi sahv zina struggle kutafuta mtoto
Na hii ni moja migogoro mikubwa hasa kwa watu ambao tayar wamefunga ndoa
Mhhhh bado haiingii akilini tena hapo kuchanganya na nguo ndiyo ingewastua nguo gani nzito hivi? Hao wabebaji ni wazi ndiyo walioshirikiana na huyo Kigagula kumuua Nyanza.Inawezekana mkuu pia inasemekana alichanganya na nguo ili wasijue
KWANINI USIENDE WEWE KUWA SAIDIA?Hapana, unatakiwa kukamatwa. Kuna jambo unafahamu ambalo askari polisi unaweza wasaidia kabisa
HILI SWALI SASA NAJIBIJE MKUU, KWANI MI NILIKUWEPO? ALAFU HAMUELEWEKI HIVI SUMU NDO INAKUPA MAJERAH MWILINIUnathibitishaje ilikuwa ni dawa ya kienyeji na sio sumu?
Umeleta huu uzi wanini sasa kama hauna uthibitisho?HILI SWALI SASA NAJIBIJE MKUU, KWANI MI NILIKUWEPO? ALAFU HAMUELEWEKI HIVI SUMU NDO INAKUPA MAJERAH MWILINI
kumbe baada ya kujua jamaa kafariki alimuweka kwenye begi akichanganya na nguo, akaita vijana wawili WA carry wamsaidie
HAPANA UZI HAUJAJA KUTUHUMI KUWA HIYO NI SUMU ILE NI ASSUMPTION TU KAKA, HAPOHAPO TUKAPATA NA ELIMI KIWA HATA KAMA NI ASSUMPTION KUMBE TUSIPENDE KUWAWEKEA WATU DAWAKWA SIRI BILA KUMUARIFU MTU , MANA YAKE HATA KAMA HAJAFA KWA SUMU, ILA KITENDO CHA KUMUWREKEA MTU DAWA, BILA RIDHAA NI HATARI.Umeleta huu uzi wanini sasa kama hauna uthibitisho?
UNAMANISHA WALIPIGANA KWANZA NDO UNATAKA KISEMA HIVO? MBONA HAKUNA JIRANI ALIEKIRI KUSIKIA MVURUGANO NDANI AU WALIPIGANA KIBUBUSi walisema ana jeraha kicwani?
Na mpka amuwekee dawa kwa siri alimpima na kugundua kua yeye ndio mwenye shida?
Huu ni ulongo