Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.

Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.

Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.

Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu.

Eti baada ya kisanga alikimbilia morogoro kwa dada wa mumewe yani wifi!

Yani umeua kaka WA mtu alafu unaenda kwa dada yake, hapo, inaonesha huenda hakudhamiria,

Alafu utata WA kuwa angewezaje kuubeba mwili peke yake, kumbe baada ya kujua jamaa kafariki alimuweka kwenye begi akichanganya na nguo, akaita vijana wawili WA carry wamsaidie kuubeba hakuwa peke yake, hao vijana hawakujua kinacho endelea, alipo fika kule aliweka mwili ndani na ulikaa siku mbili aliwalipa watu wachimbe shimo alilodai ni la taka, kwenye kuuzika mwili, aliburuta MWENYEWE ila kwenye kufukia shimo lilimshinda baada ya kuumia mkono, hivo alimuita rafiki yake amsaidie, nadhani mpaka hapo ndo likabumburuka.
Inabidi ukamatwe, ukasaidia jeshi la polisi, inanoesha unafahamu ramani nzima
 
Acha ujinga basi, dawa gani wakati marehemu ana watoto?
Manzi ni mganga wa kienyeji na alitaka adhulumu nyumba
KAKA kuwa mwelewa hizi ni HABARI tu hivo tuna chambua, shida wewe unasikiliza maneno ya upande mmoja TATIZO linaanzia hapo, umemuuliza kwanini ALITAKA kudhurumu nyumba? Je kama ye ndo ALITAKA kudhurumiwa akamuwahi
 
Huyo ni muongo na kutafuta huluma kwa jamii kama alivyo mpa iyo dawa akajua amefariki kwa nn asilipoti police yeye akachukua maamuzi yake ya kuuzika mwili
Nadhani ni KWELI alidhamiria unajua, saa zingine HATA sisi wanaume tuna shida, hujasikia ile kesi ya yule Mzee mhindi na mwanae wa kiume? Mzee kaoa katoto ANATAKA kuwahamisha WATOTO ye abaki na MKE madogo ilihali nyumba ni ya mama yao
 
Inawezekana mtoa mada hujafuatilia vzr hii kesi, hvy umekurupuka kuleta hii nadharia yako
Nadhani NAWE kaka shida unasikiliza upande wa washitaji ambao almost WOTE ni ma celebrity wana NGUVU MBONA hatumpi muda NAYE tumsikilize, inshu ya kugombea nyumba inawezekana kwanini mgombee nyumba na mnaelewana? Ina MAANA KULIKIA na MGOGORO huo MGOGORO wanajua wao si wapambe ambao wao wamekomalia nyumba tu
 
KAKA kuwa mwelewa hizi ni HABARI tu hivo tuna chambua, shida wewe unasikiliza maneno ya upande mmoja TATIZO linaanzia hapo, umemuuliza kwanini ALITAKA kudhurumu nyumba? Je kama ye ndo ALITAKA kudhurumiwa akamuwahi
AKAMUWAHI" umeeleweka boss
 
Wanga mmeanza 😹😹😹
BASI ngoja niwa wache, alafu zamani AKILI ZANGU zilikuwaga zinanambia, lamomy ni jackline wolper, cocastic ni carry ma story, nilifanyaga tu kauchunguzi ila usiweke AKILI sana ni research tu nilitaka kufanya
 
Endelea na research zako unakaribia kwenye ukweli..!! 😹
 
Wewe ndugu yake umekuja kumtetea ukidhani kesi ya mauaji inaisha Leo? hata hivyo huo utetezi wako ungedubiri kwenda kutoa mahakamani lingekuwa la mbolea zaidi hapa si sehemu sahihi
 
Back
Top Bottom