Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

HAPANA UZI HAUJAJA KUTUHUMI KUWA HIYO NI SUMU ILE NI ASSUMPTION TU KAKA, HAPOHAPO TUKAPATA NA ELIMI KIWA HATA KAMA NI ASSUMPTION KUMBE TUSIPENDE KUWAWEKEA WATU DAWAKWA SIRI BILA KUMUARIFU MTU , MANA YAKE HATA KAMA HAJAFA KWA SUMU, ILA KITENDO CHA KUMUWREKEA MTU DAWA, BILA RIDHAA NI HATARI.

JAMBO LA PILI, DAWA ILIWEKWA ILI WAPATE MTOTO JE KUNA MTU YEYOTE KESHA THIBITISHA KAMA WAPENZI HAO WALIKUA NA MTOTO? ILI TUONE KUWA HIYO POINT SI SAHIHI?
Nimekuelewa ila mwandiko wako ni sumu tosha🤧
 
"Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto."

???
1774117848061.jpg
 
Nimekuelewa ila mwandiko wako ni sumu tosha🤧
Sorry kaka Niko fasta sana naingia na kuchomoka si unajua SISI kupata CHOCHOTE mpaka harakati, sijaajiriwa nimejiajiri hivo UKIONA naandika haraka haraka bila kujali sana sababu, naingia na kulog off kuendelea kuzurura mtaani NIPATE CHOCHOTE KITU kama UNA inshu tunashirikishana ili nasi tuanze kuishi kwa uhakika kaka
 
Mke wangu niliyenae hadi sasa ambaye n mama watoto wangu alidanganywa na mwanamke mmoja kuwa akinipa dawa cjui limbwata ntakua chn yake. Kweli akapewa akaja nalo nyumbani hakuniwekea kwene msosi ilibidi kwanza ajaribishe kwa mbwa wangu ndan ya dk 10 mbwa akaanza kula nyasi tukijua ni kawaida kuja kuangalia amekufa ikabidi nikabana familia nzima kuhusu mbwa na mbwa ambae hatoki hapo nyumbani unless umetoka nae kwenda kuchunga. Baada ya kuona nimesala sana wife akaamua kufunguka kuwa kapewa na mama sam (rip) anipe mim npende zaidi. Woooi! Yaan niliishiwa nguvu ghafla na hadi wa leo nampenda bure after kuwa amenambia ukwel. Ila mama sam tulienda kwake nikaongea na mme wake nae akawa muelewa mda huo mama sam anajikanyagakanyaga kwa kusema kuwa ni la kawaida tu mme wake alimchapa kofi ambalo tuliokuwepo karibu tuliona nyota nyota sis na akaambiwa anywe yeye ikabid nae afunguke ukwel nikamsamehe bure ila after 1year aliugua na kufariki. Wife ninae ila namwamini kwa 2% tu had chakula lazma tule wote ila hana amani.
 
Pambana mkuu , nikipata ishu nitakushtua bwashee
 
Kwanini aliuza nyumba ya jamaa?Kwanini alivyoachiwa mara ya kwanza kwa dhamana alitoweka?

Kwanini alikuwa anatumia simu ya marehemu kuwataarifu ndugu(akijifanya kama marehemu akiwaambia wasimtafute atarudi)?

Yule shetani ni muuaji asiyefaa hata katika jamii, Period.

#Hallelujah!!!
 
Mke wangu niliyenae hadi sasa ambaye n mama watoto wangu alidanganywa na mwanamke mmoja kuwa akinipa dawa cjui limbwata ntakua chn yake. Kweli akapewa akaja nalo nyumbani hakuniwekea kwene msosi ilibidi kwanza ajaribishe kwa mbwa wangu ndan ya dk 10 mbwa akaanza kula nyasi tukijua ni kawaida kuja kuangalia amekufa ikabidi nikabana familia nzima kuhusu mbwa na mbwa ambae hatoki hapo nyumbani unless umetoka nae kwenda kuchunga. Baada ya kuona nimesala sana wife akaamua kufunguka kuwa kapewa na mama sam (rip) anipe mim npende zaidi. Woooi! Yaan niliishiwa nguvu ghafla na hadi wa leo nampenda bure after kuwa amenambia ukwel. Ila mama sam tulienda kwake nikaongea na mme wake nae akawa muelewa mda huo mama sam anajikanyagakanyaga kwa kusema kuwa ni la kawaida tu mme wake alimchapa kofi ambalo tuliokuwepo karibu tuliona nyota nyota sis na akaambiwa anywe yeye ikabid nae afunguke ukwel nikamsamehe bure ila after 1year aliugua na kufariki. Wife ninae ila namwamini kwa 2% tu had chakula lazma tule wote ila hana amani.
Asante kwa elimu mkuu kumbe KUUA pasipo kukusudia inawezEkana kabisa
 
wengi ni ushawishi toka kwa wengne mr anajikuta kashafanya tukio mwisho wa cku anabaki na majuto. Mwanamke ni kiumbe cha kudanganyika kwa haraka sana. Mimi nilimsamehe bure ni baada ya kwenda kwao akawaambia ukweli ila naish nae kwa akili yaan ilibid niongeze mwingne na wameelewana hadi najishtukia
 
Bwashee utaosha vibibi 87 vya kizungu wa siku moja kupata pesa ya chupa yangu moja ya pombe😁
Kuna mshangazi single mother yani kanipenda balaa tumejuana wiki tu lakini ni mfulululizo wa text msg. Nilimpata online dating site.
Screenshot_20260322_175248_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom