Jamaa kadakwa kizembe sana kama kuku kwenye mtego wa pumba nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu. Sasa ni zamu yake ONTARIO mahakamani.
Anahamishiwa Kisutu leo.
Vijana fanyeni kazi halali, acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja.
Huyu kawa wa mfano