social media

  1. Termux

    Kuna vijana wanawaongezea watu followers

    Habari wana JF, kuna habari nmekutana nayo uko instagram, kuna vijana wanawaongezea watu followers, like, views, na vitu venginevyo katika page zao za mitandao ya kijamii. Mambo yanaenda mbio sana, AI mara uku kuna hiki mara kile kuna kile ilimladi tu dunia ipitue mabadiliko. Mfano facebook...
  2. v0il0r

    Pro social media manager + marketing

    Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla. Faida za kuwa na social media + marketing manager 1. Nasimamia akaunti zako zote za mitandao ya kijamaa ya baishara yako, kama kuweka bidhaa/ huduma zako, kuwaelezea...
  3. Ngamba

    Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  4. BARD AI

    Elon Musk hufuatiliwa na Walinzi wake kila akiingia ofisi za Twitter, hata akiingia Chooni

    Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ. Mfanyakazi huyo amesema #ElonMusk ameonesha kuwa na hofu juu ya...
  5. Dr am 4 real PhD

    100 views on any social media platform Humfanya Msichana (a girl) go crazy

    100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar...
  6. Mr sule

    Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

    Habari wangu. Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp. Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
  7. The Burning Spear

    Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

    Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita. Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba. Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa...
  8. J

    Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

    Bunge ni moto Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi...
  9. Sharifu selemani mussa

    Natengeneza vipeperushi ,business card , social media post , product label na ishu nying za maswala ya graphics designing ikijumuksha mabango n.k

    Naitwa sharifu mussa, ni graphics designer wa Ot Technology, karibuni sana wateja kupata huduma mbali mbali za graphics designing ikiwemo label za bidhaa , business card, mabango ,. Gharama zetu ni stahiki sana na kazi zenye ubora. Wasiliana nasi. +255 620 155 490 Follow us Ot technology tz
  10. mugah di matheo

    Official Caf social media pages inaendeshwa na nan?

    Habari za muda huu wadau. Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi? Ni hilo tu wakubwa
  11. sky soldier

    Ukubwa wa Yanga unajidhihirisha kwani hata uchaguzi umegeuka kuwa Agenda kubwa,, kila kona mpaka kwa wanaoichukia Yanga hawakwepi kuizungumzia

    Kila Mwanamichezo nchini jicho lake lipo katika Uchaguzi huu,,hata wale wa upande wa pili, Agenda yao Kwa sasa ni uchaguzi wa Mabingwa wa Taifa. Kinachofurahisha hadi Wanaharakati wapinga kila kitu cha Wananchi nao wamesimama na Content ya Chaguzi kuu la Machampioni. Yes, hawa tunakosea...
  12. beth

    Juni 30: Siku ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Day)

    Pamoja na kuunganisha watu duniani kote, Mitandao imetoa fursa kwa watu kutengeneza kipato. Siku ya Mitandao ya Kijamii inaadhimishwa kusherehekea mahusiano ambayo watu wamejenga kupitia Mitandao mbalimbali. Uwepo wa Mitandao ya Kijamii umesaidia upatikanaji wa Taarifa, umetoa fursa kwa sauti...
  13. beth

    Kenya 2022 Matiang’i: We will not shut down Twitter over elections

    The government will not shut social media sites before, during and after the elections, Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i has said. The CS, who admitted that there was an escalation in fake news and unprecedented abuse of social media, said cyberspace has been a tough call to police...
  14. F

    Kuna Sifa nyingi Kwenye social media Kuhusu Chama kimpya kiitwacho Umoja Party

    Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli. Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi...
  15. and 300

    Social Media Vs Maambukiz ya UKIMWI kwa vijana?

    Kumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana. Maana vijana wanaloweka bila kinga. Na Kampeni za Kujikinga na UKIMWI zimesahaulika kabisa. Tunaandaa taifa la waathirika...
  16. Ikaria

    Mitandao ya kijamii isikufanye uwachukie wanaohitaji upendo wako wa kweli

    Usipokuwa makini na mitandao ya kijamii, unaweza muonea wivu mtu unaepaswa kumuonea huruma.
  17. Kiokotee

    Inawezekana kweli kuishi bila social media?

    Nauliza tu jamani, Hivi mtu unaweza tumia mbinu gani kwa hali ya sasa Ukae mbali kabisa na kutumia Social media, yaani uweze kutumia simu ya kitochi tu!
  18. Kiokotee

    Hivi inawezekana kabisa kuachana na Social media?

    Habari za usiku huu, Nauliza hivi Inawezekana kweli kwa Kijana kama mimi( Mr.Kiokotee) kwa huu Utandawazi nikaishi kama nipo kolomije huko bila kutumia mtandao wowote wa Kijamii yaani nitumie Simu ya kitochi tuu kupiga na kupokea baasi. Kwa mbinu gani hili litawezekana?
  19. isajorsergio

    LinkedIN yaongeza kipengele cha Social Audio

    LinkedIn imeaanza kusambaza kipengele cha sauti / #SocialAudio kwa wabaadhi ya watumiaji wa mtandao huo – hasa ikilenga waandaji maudhui kwa hatua ya kwanza. Mojawapo ya sifa kuu za kitofauti ni uwezo wa kushiriki chapisho "Contextual" la tukio la sauti. Kila tukio la sauti...
  20. Manjagata

    Msaada: Kwa Anayejua Kuhusu Hizi Paid Social Media Jobs

    Wadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi...
Back
Top Bottom