software

  1. P

    SoC02 How software technology should be leveraged in order to facilitate financial inclusion amongst small-scale farmers

    NAME: PATRICK CHRISTOPHER SAROTA AGE: 23 NATIONALITY: TANZANIA EDUCATION LEVEL: BSc. INTERNATIONAL ECONOMICS AND TRADE CITY: DAR ES SALAAM, TANZANIA MOBILE NUMBER: 0685678650 EMAIL: PATRICK.SAROTA@GMAIL.COM HOW SOFTWARE TECHNOLOGY SHOULD BE LEVERAGED IN ORDER TO FACILITATE FINANCIAL INCLUSION...
  2. Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  3. Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design

    Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design
  4. Software Engineers & IT

    Je ww ni software Engineer ( Developer ) / IT lakin una kaz na wala ujapata ajiri . Ni text dm tuyajenge . I need: 1. Web developer ( full stack developer with good design skills ) 2 . App Developer ( React , Flutter and Java) 3. PHP ( frameworks Any ) 4. Graphic Designer And Video Editor (...
  5. G

    Nahitaji construction software

    Naitaji any construction software ambayo inaweza kufanya bill of quantities
  6. Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

    Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini). 2:APP ya...
  7. Misaada: jinsi ya ku update software ya simu (redmi note ten)

    Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
  8. Wapi nitapata Professional course In Statistical Analysis Software

    Wakuu ninatamani kuongeza ujuzi kwenye eneo la statistical software za kufanyia data analysis. Natamani kupata professional short-course Ili kujinoa zaidi kwenye Excel, SPSS, AMOS (Advanced Level) na pia natamani kujifunza R na Python n.k kwa ajili ya shughuli zangu za kitafiti. Wapi naweza...
  9. Ningependa kuwa Software developer vipi nikisoma ICT?

    Wakuu mimi ni moja ya watu ninaopenda kuwa Software developing ninampango wa kusoma ICT je nitaweza kutimiza ndoto zangu? Nakama mtu anaconnection ya chuo cha hapa Dar itakuwa poa
  10. P

    Software hizi zinahitajika tafadhali

    Nina MACBOOK PRO Nahitaji kuiwekea 1. HIGH SIERRA 2. FINAL CUT PRO X 3. LOGIC PRO X 4. REASON 5. GARAGE B 6. EXCELL-WORD-PWPOINT 7. PREMIER PRO 8. PHOTOSHOP 9. ILLUSTRATOR 10. DREAMWEAVE 11. IN DESIGN 12. SOFTWARE NZURI YA KU RIP DVDs / CDs 13. SOFTWARE NZURI YA KUHAMISHA DATA...
  11. Fahamu Kuhusu Biashara ya Software na Programming

    Habari za wakati huu, Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
  12. Software Developer, looking for a job

    Kama title inavyojieleza, nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka mitatu (work experience), kwa sasa natafuta kazi party time au contract Skills PHP (Laravel, Wordpress theme &plugin development, OOP) Javascript ( Vue.js, React.js, Jquery) Docker, Git, Jira, Bash scripting, comfortable with...
  13. Wakubwa naombeni msaada wa software

    1.Windows 2.Tally 3.Excel
  14. msaada remote desktop software

    Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao. Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked. Nawasilisha
  15. Nahitaji software ya gharama ndogo

    Habari, Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown. Pia ya transport na logistic low cost web version. Nawasilisha NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
  16. Software ya kulock whatsapp

    Samahani wakuu Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu. Asante.
  17. Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  18. Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  19. System Developers EAC tumelala, huu mchongo wa Tanzania umeenda India, software $30 million USD

    Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo. ========= A statement...
  20. M

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…