Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.
Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?
2.ufaulu kiasi gani?
3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?
4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.
NAWAKILISHA.
Juutech Solutions is an uprising Tanzanian startup company that is aspiring to do great things. Currently, the company is looking for an ambitious junior developer to fill one post. Please see details below.
Position: Junior Software Developer
Qualifications:
1. Diploma or Bachelor degree in...
Kama unahitaji software hii basi check me on 0713388317/0757749641.
Iko complete from Source documents to Final financial statements. Na imefuata sheria zote za kiuhasibu IFRS/IPSAS!
Karibu sana, kwa maelezo zaidi nipigie hizo namba!
Nafahamu kuwa nje specific Hollywood wanakuwa wanatumia programmes maalum za kuandika scripts za movie au Tv shows programmes zenyewe ni kama Final Draft au Celtx ambazo zinauzwa unakuta.
Sasa nataka kujua Tz creators wanatumiaga nini maana zile mostly zimekuwa zimesetiwa English hata zile...
Habari za majukumu wana Jamiiforum
Nina mpango wa kuanzisha microfinance co. Ndani ya mwaka huu na nilikuwa naomba ushauri juu ya software/accounting package nzuri ambayo naweza kuitumia kuendesha hiyo microfinance.
Ni matumaini yangu wana jamvi mtanishika mkono kweny hili.
Natanguliza...
Habar wana jamii forum hope mpo poa mm ni mwajiriwa kwenye kampuni X najihusisha na Tender na kwa sasa nimekuwa na shughuli nyingi mno lakin kamwe sijawah kuwaza kuacha mambo ya tenser japo kuna sehemu kuna shida kidogo na naamin humu wapo ambao pia wanafanya hii shughuli.
Shida ipo hv...
Kuna jamaa (nimsahau) alisema ametengeneza software inayoweza kutumika na kanisa Katoliki kwenye taarifa za waumini kuhusu
1. Jina
2. Jumuiya
3. kanda
4 ULIPAJI zaka na michango mbalimbali
4. Harambe
5. Ubatizo
6. Kipaimara
7. Ndoa
8. na mengine yahusuyo RC
Kama atasoma taarifa hii naomba...
Nahitaji fundi anaeweza kufanya Password Unlock ya Oppo A31 2020 CPH2015, simu ni mpya haina google account. Kama yupo fundi anaepatikana Dar itakuwa poa zaidi
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio.
Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie
Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox.
King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini
Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa...
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti.
Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
Background
The CIHEB 201 Regional Software Team is a specialized software development team with an international staff of 14 and growing. This dedicated group of software developers and computer scientists apply their expertise in building applications, architecting systems, and engaging users...
Hello bosses,
Ni kwa muda sana sijaandika makala kuhusu computer programming. Kiukweli kuna watu wanahitaji kufahamu Programming na kuweza kuitumia kupata kipato, nina uhakika na hilo kwa sababu wengi wamekua wakinifuata PM kuniomba guide. Leo hii natoa guide generally kwa wote wenye UHITAJI...
hello bosses,
ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
Ni software gani ambayo ni easy kufanya hard subtitling, yani ninamaanisha kufanya srt, au ass file kuwa completely merged na mp4 video. Nimekuwa nikitumia MKVnxtool lakini inachokifanya ina work kwenye VLC tu ila nikiplay file na player nyingine subtitles haziji au nikimtumia amtu haioni...
Moderm yangu ya K3772z huawei huwa haiji install yenyewe napochomeka kwenye pc mpya hadi nidownload kutoka external source. Sasa changamoto niliyo nayo ni moja, nimeshagoogle hadi nimekata tamaa sijapata driver za window 10. Naishia kupata window 7. Msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.