HELLO
Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno.
Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe...
accounting
bei
biashara
computer
duka
fedha
jumla
kumbukumbu
kusimamia
kutunza
maduka
malipo
management
management system
mapato
matumizi
mauzo
mfumo
mwaka
mwezi
offa
pharmacy
rejareja
software
supermarket
system
wamiliki
yako
Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k
Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.
Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k
IDM kwajili ya...
Hello bosses...
Em tutafakari kidogo.
Binadamu tunajiumiza sana pasipo na sababu za msingi, miili yetu haijaumbwa/haijaumbika kwa ajili ya mazingira ya sasa hasa kwenye hii karne ya 21 na ndio maana kuna milipuko ya magonjwa ya ajabu kama vile kansa.
Tunalazimisha miili yetu yenye physiology...
Habarini wakuu
Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm
Nawasilisha
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo:
1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 4...
Wakubwa,
Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu vyote vya mwanzo kama kawaida.
Natumia window 7 32 bit system. Pia nikiwa narestore data zote iwe...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
Habari wajumbe!
Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me.
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo:
1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 2 gb,zinakaa...
Habari ya muda huu wakuu
Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
Habari za kwenu waungwana natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ya kutafuta ubillionaire katika nyanja yetu pendwa ya Technology, sasa basi leo naomba nizungumze na software developers, mobile developers na engineers mbalimbali wa maswala ya Artificial Intellience, Cloud computing...
Overview
Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no. 11 of 1969. It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary...
Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary Government of...
Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa.
Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
Tuna deal na simu za aina yeyote ile kwa tatizo linalohusu software basi hapa ndo nyumbani unaweza jipatia frmware pamoja na tool yake kwa free kabisa na ukakamilisha kazi yako bila shida kabisa.
Ikiwa unauhitaji wa ku unlock simu na vifaa vingine kama vile modem looter nk huduma inapatikana...
Habari zenu, msaada tafadhari, naombeni kujua ni software gani (trusted) naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa local disk C kwenye PC?
ahsanteni kwa ushirikiano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.