software

  1. R

    SOFTWARE All PDF Reader

    App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF) Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers) Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf...
  2. Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

    Ndugu zangu, Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako. A quick introduction about the project;- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
  3. Project Ni Muhimu Ili kupata kazi kwenye Software Industry

    Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote" Unaweze kupata kwa kupambana Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha! Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
  4. Msaada kwa watumiaji wa Microsoft Word au Any text editing software

    Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii
  5. National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam at UNICEF

    National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam, TANZANIA. Job no: 545553 Contract type: Consultancy Level: Consultancy Location: United Republic of Tanzania Categories: Knowledge Management UNICEF works in some of the world’s toughest places, to...
  6. Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  7. Wauza software wa jamii forums na lile neno la 50% OFF

    Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ? Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
  8. T

    tHL Accounting Software Trainer

    tHL Accounting Live Class: FURSA kwa vijana wenye Degree za Account, Finance, Business Administration, Economics au Procurement. Kupitia tHL Accounting Live Class tutatoa mafunzo ya mfumo wa tHL Accounting online bure kuanzia tarehe 01 October 2021. Jinsi ya kujiunga na mafunzo ingia...
  9. Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

    Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa. Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
  10. Taarifa ni software ya maisha

    Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu: masomo shuleni stori kijiweni habari magazetini mahubiri ibadani nk. Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe. Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda. Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
  11. Apple watengeneza programu ya kuzuia udukuzi unaoweza kufanywa kwa vifaa vyake bila ya mtumiaji kubonyeza 'link'

    Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
  12. Y

    Tips ICT Officer (Software Developer & Sys Admin)

    Wakuu salam kwenu. Niko hapa naomba tips za wapi pa kugusia kwenye written exams za utumishi kada ya ICTO upande wa software developer na Sys Admin. Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi naona kama napapasa gizani. Msaada wenu wadau kitaa pamekaza kinoma.
  13. Nataka kujifunza software ya ERP (Enterprise Resources planning)

    Habari zenu wakuu, Mwenye anajua website ambayo nitaweza kujifunza na kuielewa hii software naomba anisaidie nataka sana niijue kiundani
  14. KWA WANAO FAHAMU SOFTWARE YA VIDEO EDIT & GRAPHICS KU INSTALL KWENYE UBUNTU

    Habari wanandugu wenzangu naomba kwa mtu anae fahamu software ya Video Editing na Graphics kwenye Ubuntu tuwasiliane nitamlipa.
  15. As a software engineer, what can you tell them, if you can't solve a problem?

    You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be solved - maybe we can change the problem so that the list is kept ordered?” Or sometimes the problem...
  16. Habari njema kwa wanaohitaji application,website and desktop apps

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, Kwa upande wa Mobile Application iwe Android au iOS platform , Katika mifumo miwili hiyo hapo juu unaweza kujipatia App za mifumo App za kioffice App za majukwaa App za Biashara nk Pia katika maorodhesho hayo hapo juu inaweza kuwa ni Desktop App au Website...
  17. Revised Employment post for Software developers

    REVISED RE: SOFTWARE DEVELOPERS IN AFRICA Many greetings to you. We are currently looking for Software Developers in Africa. We welcome applications from all African countries. Consideration will be placed on a First-Come-First-Served basis. Kindly share the attached job descriptions to...
  18. Software developers in Africa

    Many greetings to everyone. We are currently looking for Software Developers in Africa. We welcome applications from all African countries. Consideration will be placed on a First-Come-First-Served basis. Kindly share the attached job descriptions to the qualified ones to send their...
  19. Ijue Pegasus, software inayotumika kuwadukua wanaharakati na wanahabari

    Pegasus ni jina linalomaanisha Farasi Mwenye mbawa. Ambalo ni namna ya kuonesha kuwa software hiyo inafanya kazi kama Farasi wa Matrojan(Trojan Horse) lakini yeye anaweza kupaa. Software ya Pegasus imegundulika 2018 na kampuni ya Israel ya NSO inauwezo wa kudukua hadi iOS 14.6. Kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…