software

  1. Msaada: Vigezo vya kusomea software engineering kwa tunaomaliza form4

    Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT. Maswali yangu: 1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu? 2.ufaulu kiasi gani? 3.Je ada yake ikoje kwa mwaka? 4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate. NAWAKILISHA.
  2. Nahitaji Customer Software

    Nahitaji Customer Software wapi naweza nikaipata. Msaada.
  3. Junior Software developer Position

    Juutech Solutions is an uprising Tanzanian startup company that is aspiring to do great things. Currently, the company is looking for an ambitious junior developer to fill one post. Please see details below. Position: Junior Software Developer Qualifications: 1. Diploma or Bachelor degree in...
  4. SOFTWARE Smart Accounting software for your business

    Kama unahitaji software hii basi check me on 0713388317/0757749641. Iko complete from Source documents to Final financial statements. Na imefuata sheria zote za kiuhasibu IFRS/IPSAS! Karibu sana, kwa maelezo zaidi nipigie hizo namba!
  5. Script Writers wa Bongo Movie wanatumia Software gani?

    Nafahamu kuwa nje specific Hollywood wanakuwa wanatumia programmes maalum za kuandika scripts za movie au Tv shows programmes zenyewe ni kama Final Draft au Celtx ambazo zinauzwa unakuta. Sasa nataka kujua Tz creators wanatumiaga nini maana zile mostly zimekuwa zimesetiwa English hata zile...
  6. Natafuta ushauri kuhusu software nzuri ambayo ntaweza kuitumia kweny ku run microfinance

    Habari za majukumu wana Jamiiforum Nina mpango wa kuanzisha microfinance co. Ndani ya mwaka huu na nilikuwa naomba ushauri juu ya software/accounting package nzuri ambayo naweza kuitumia kuendesha hiyo microfinance. Ni matumaini yangu wana jamvi mtanishika mkono kweny hili. Natanguliza...
  7. The best English - Swahili Translation Software

    Wakuu, naomba kujuzwa the best Swahili to English(and vice versa) Translation software. Google Translator haifanyi vizuri sana.
  8. R

    Ni software gani inaweza nisaidia kuandaa bid document kirahisi?

    Habar wana jamii forum hope mpo poa mm ni mwajiriwa kwenye kampuni X najihusisha na Tender na kwa sasa nimekuwa na shughuli nyingi mno lakin kamwe sijawah kuwaza kuacha mambo ya tenser japo kuna sehemu kuna shida kidogo na naamin humu wapo ambao pia wanafanya hii shughuli. Shida ipo hv...
  9. Nahitaji Mafunzo ya Software ya Atlas.ti

    Iwapo kuna mtu anaijua vizuri software ya Atlas.ti na yuko tayar kunifundisha please ni PM tuelewane.
  10. SOFTWARE Natafuta software

    Kuna jamaa (nimsahau) alisema ametengeneza software inayoweza kutumika na kanisa Katoliki kwenye taarifa za waumini kuhusu 1. Jina 2. Jumuiya 3. kanda 4 ULIPAJI zaka na michango mbalimbali 4. Harambe 5. Ubatizo 6. Kipaimara 7. Ndoa 8. na mengine yahusuyo RC Kama atasoma taarifa hii naomba...
  11. Mafundi wa simu upande wa Software mnahitajika hapa

    Nahitaji fundi anaeweza kufanya Password Unlock ya Oppo A31 2020 CPH2015, simu ni mpya haina google account. Kama yupo fundi anaepatikana Dar itakuwa poa zaidi
  12. T

    Vitabu vya software application development

    Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
  13. A

    Software ya KING'AMUZI aina ya DVB T - T2

    Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox. King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa...
  14. SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  15. Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

    Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
  16. Regional LIMS Software Developer Manager at CIHEB

    Background The CIHEB 201 Regional Software Team is a specialized software development team with an international staff of 14 and growing. This dedicated group of software developers and computer scientists apply their expertise in building applications, architecting systems, and engaging users...
  17. Customized Software development courses by me. I'll teach you how to geek in coding

    Hello bosses, Ni kwa muda sana sijaandika makala kuhusu computer programming. Kiukweli kuna watu wanahitaji kufahamu Programming na kuweza kuitumia kupata kipato, nina uhakika na hilo kwa sababu wengi wamekua wakinifuata PM kuniomba guide. Leo hii natoa guide generally kwa wote wenye UHITAJI...
  18. Kama software engineer (experinced Software Craftsman) umepanga kujifunza nini huu mwaka?

    hello bosses, ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
  19. Ni software gani inayoweza kufanya hard subtitling

    Ni software gani ambayo ni easy kufanya hard subtitling, yani ninamaanisha kufanya srt, au ass file kuwa completely merged na mp4 video. Nimekuwa nikitumia MKVnxtool lakini inachokifanya ina work kwenye VLC tu ila nikiplay file na player nyingine subtitles haziji au nikimtumia amtu haioni...
  20. Nimekosa driver ya moderm huawei k3772z kwa window 10

    Moderm yangu ya K3772z huawei huwa haiji install yenyewe napochomeka kwenye pc mpya hadi nidownload kutoka external source. Sasa changamoto niliyo nayo ni moja, nimeshagoogle hadi nimekata tamaa sijapata driver za window 10. Naishia kupata window 7. Msaada plz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…