software

  1. Jinsi ya kuflash simu za kichina (android phones)

    Kama kichwa cha post kinavyosema, nataka ujue ni jinsi gani ya kuweza kuflash simu yako ya Android kwa kutumia Proglam mbalimbali kulingana na tatizo binafsi. Hapa kwanza nitaelezea simu mbalimbali kulingana na aina ya chipset zake = => Tecno = => Infinix = => Gionee = => Innjoo = => Itel...
  2. Senior Software Engineer at Bongo Live

    Bongo Live is a cloud communications service provider based in Dar es Salaam with a presence across 18+ African markets (www.bongolive.co.tz). Our unique service provides enterprises the ability to reach and transact with customers across Africa via sms, ussd, airtime and mobile payments...
  3. Software line

    Hope mko poa! Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi leo wakati nawaza kuhusu kusumbua kwa internet ya Vodacom Tanzania kuna wazo lilinijia. Ila sijui kama tayari liko implemented. Hivi kuna simu ambazo hazitumii mobile service provider chip kwa ajili ya...
  4. What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

    Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani. asanteni
  5. Software gani nitume kukonvert audio tape kwenda digital

    Wataalam habari zenu ninaaudio tape za miaka hiyo natafuta namna gani huu music naweza weka ktka digital.
  6. Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

    Salaam Wakuu! Poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30. Ninaishi Dar es salaam. Nimeajiriwa kama Software Developer sehemu fulani. Natafuta sehemu ya kufanya part time nje ya muda wa kazi. Lengo ni kuongeza kipato na pia kupata uzoefu nje ya mazingira ya kazi. Nimesoma degree ya...
  7. I

    Nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science

    Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?
  8. Software development and graphics design services

    Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu: 1. Graphics design a. Logo Design b. Brochure Design c. Banner Design d. Flyer Design e. Products Brand Design f. Software Layout Design 2. Software Development a. Website Design and Development b. Blog Design...
  9. SOFTWARE Shop Software

    Heshima kwema wakuu... Leo, tunawaletea mfumo wa mauzo uliojaribiwa na kufanya vizuri sana kwa wateja wetu. Mfumo huu ni desktop application (Language iliyotumika ni c# na database ni SQLServer 2014). Mfumo ni mwepesi sana kutumia na unatoa ripoti zote za muhimu. Pia tunaongeza vitu...
  10. alpha - Medical Practice Management System

    A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
  11. Software gani nzuri kwa biashara?

    Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store. Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…