soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Simba wamekosa ustaarabu na ubinadamu, Points 3 kwa goli moja au mawili yalitosha kwa kuonyesha kuguswa na ajali ya Dodoma Jiji

    Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni fursa ya kushine, wameingiza kikosi chenye booster za kutosha, Walipania !! Dodoma jiji walipata...
  2. kipara kipya

    Ligi ya NBC premier league haina tena imepoteza mvuto haina thamani yake sababu ya wapuuzi wachache

    Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya ligi. Unaweza ita washamba...bongo mpira wake ni wa matokeo ya mfukoni na uchawi iko wapi ligi yenye...
  3. holoholo

    Hatimae Kibu Denis ajipata afunga goli ligi kuu ya NBC baada Ya miaka wiwili.

    Wakuu, Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mala ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December 5 2023 Soma Pia: Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex |...
  4. SAYVILLE

    Kwanini derby ya Yanga na Simba haikuchezwa?

    Wengi tumejikita kwenye habari za kanuni na mabaunsa ila ngoja nipanue kidogo mjadala wa kwa nini derby ya Simba na Yanga haikuchezwa tarehe 08/03/2025. Msichukulie huu uzi serious sanaaana ila unaweza kusaidia kupanua mawazo kidogo wakati huo huo ukitoa burudani ya hapa na pale. Tujadili bila...
  5. Labani og

    Alikamwe: Tutaipongeza kila timu ikitokea kucheza na Yanga, wengine hukimbia

    "Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona" WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana wananchi wanasema hii haikuwa dhahama yenu ila hawana jinsi na huyu Top score wa Ligi Clement Mzize...
  6. D

    Mechi ya Yanga na Simba ikiamuliwa kurudiwa litakuwa ni kashfa kubwa zaidi ya Upangaji wa Matokeo kuwahi kutokea katika Soka Afrika na duniani

    Ikiwa TFF na Bodi ya Ligi wataamua Mechi ya Yanga ni Simba ichezwe tena, hilo litakuwa ni tukio kubwa la Match fixing kuwahi kutokea katika Soka la Afrika na duniani. Na kwa kuwa inaonekana ni hujuma ambayo ilipangwa mapema(premeditated) kwamba Yanga wagomee mechi ya marudiano ili Simba wapewe...
  7. T

    Video: Kwa haya mambo kwa Sisi Yanga. Hapana. This is too much. Wacha si wengine tuseme

    Kuna viongozi wa Serikali wanaiiharibu sana hii team kiasi kwamba wote tunaonekana hatuna akili. Wote tunaonekana vilaza. Tufanyeni mambo kisomi. Huu upumbavu hautatusaidia hata kidogo. Ni mambo ya kipuuzi. Na msitake kuleta madeko na hatimaye kuja iharibu Ligi yetu kipuuzi tu.
  8. C

    Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?

    Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?!! Unaamini uchawi lakini unacheza mechi za kimataifa unashindwa kufunga goli hata moja? Hivi hii nchi watu wana akili au kamasi? Unahonga pesa...
  9. E

    Tukiwa wakweli ni kwamba klabu zote hizi mbili na baba yao TFF zina viongozi uchwara na wanafikiri kwa mihemko kama wanaogoza timu za mtaani

    Kama mmojawapo kati ya simba , yanga na TFF angekuwa na akili za kutosha haya yasingetokea. Simba: Hata kama kanuni zinaruhusu kufanya mazoezi kwenye huo uwanja ila hakukuwa na sababu yenye mantiki kufanya mazoezi kwenye huo uwanja. Mna uwanja wenu wa mazoezi wa siku zote , sasa kipi cha maana...
  10. Zanzibar-ASP

    Kuna timu iliadhibiwa kwa kugoma kucheza kisa kukosekana huduma za dharula uwanjani (Ambulance), sijui hili la Simba la Yanga limekaaje?

    Kuna jambo limenistua kidogo baada ya kusikia taarifa za bodi ya ligi kuhairisha mchezo kati ya Yanga na Simba kwa lengo la kwenda kufanyia uchunguzi madai ya Simba kuzuiliwa kuutumia uwanja wa Benjamini Mkapa kwa mazoezi siku moja kabla ya mechi. Tamko la Bodi ya ligi limetolewa masaa machache...
  11. MwananchiOG

    Tetesi: TFF kuburuzwa FIFA na Yanga kwa kuahirisha mchezo halali wa ligi bila sababu maalum

    Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara. Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za...
  12. LIKUD

    Back to EPL campaign: Cancel Soka La Bongo

    Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc) Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire. Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na Yanga kweli kweli. Siku ya mechi basi Dar yote ilikuwa ni njano na nyekundu. Kutokana na...
  13. THE FIRST BORN

    Kwa soka la Bongo Fadlu Davis akifungwa na Yanga na akatolewa Kombe la Shirikisho anafukuzwa

    Habari! Kwa mfumo wa soka la Bongo hapa hakuna mabishano na ukibisha labda tu uamue ila ki uhalisia Kwa soka la Bongo linavyoendeshwa Kwa Hisia Kali za Mashabiki Tena kuangalia upande mwingine wanawasema vipi. Tegemeeni Fadlu kufurushwa endapo atapata matokeo Mabovu vs Yanga na akatolewa na Al...
  14. C

    Wachezaji wa Yanga wanatumia nguvu kama vile mieleka wakati wa kukaba lakini waamuzi wa hapa huwa wanawabeba

    Sioni ajabu hii Yanga kushindwa kwenda mbali kimataifa kwani mechi zinazochezeshwa na waamuzi wa nje,wanacheza mpira na sio mieleka wakati wa kukaba ndio maana wanafungika vizuri sana. Waamuzi wetu hapa huona sana mchezaji wa yanga anapoguswa na kujiangusha pale anapozidiwa ujanja,lakini...
  15. Waufukweni

    Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  16. pesakilakitu

    Nimehuzunishwa kama si kusikitishwa na Kauli za Mwigulu Nchemba kuelekea mechi ya Derby

    Katika kampeni iliyoanzishwa na Benki ya NBC ambaye ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, mimi kama mdau wa mpira nimeshangazwa kama si kuchekeshwa na kusikitishwa na Kauli za Mwigulu, kwanza ametoa tuhuma kuwa uwanja tena eti wenye jina maalum kwamba pametolewa penati tatu, yeye anaujua mpira ama...
  17. Damaso

    𝐒𝐡𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐃𝐚𝐮𝐝𝐚 & 𝐉𝐞𝐦𝐞𝐝𝐚𝐫 𝐒𝐚𝐢𝐝 mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi

    Wachambuzi 𝐒𝐡𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐃𝐚𝐮𝐝𝐚 & 𝐉𝐞𝐦𝐞𝐝𝐚𝐫 𝐒𝐚𝐢𝐝 mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. 😀
  18. Tajiri Tanzanite

    Kitakachoifanya Simba ikose ubingwa sio ubora wa timu bali ni udhaifu wa uongozi wa club ya Simba

    Hapo vip!! Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya. Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu ikawa ya kawaida inauwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa mara nyingi sana. Lakini pia ukiwa na timu...
  19. ngara23

    Juma Kaseja kocha mkuu Mpya Kagera Sugar

    Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja Kila la heri Juma
  20. M

    Marehemu Hans Pope ametuachia pengo kubwa sana ndani ya Simba ndio maana akina Hersi wanatamba na wataendelea kutamba

    Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji. Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans...
Back
Top Bottom