soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

    Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana. Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja. Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa Simba...
  2. Waufukweni

    Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

    Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi. Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai kuwa Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji, Leo asubuhi imesikiliza kesi ya kiungo wa Simba Yusuph...
  3. Waufukweni

    Tetesi: Wydad Casablanca wamrudia Clement Mzize, Ofa ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2, na Masharti Magumu

    Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa hajupo sokoni. Lakini Wydad hawajali, hawasikii wala hawaogopi—wanaendelea kushindilia mlango ambao...
  4. OMOYOGWANE

    Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha, yeyote akae mguu sawa

    Kama kawaida kama dawa. Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo. Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi. Kuna muunganiko nyuma na kati kati. Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga...
  5. Mkalukungone mwamba

    Semaji la Vital' O achangiwa nauli ya kurudi Burudi

    Semaji la Dunia Arsene Bucuti kumbe nauli ya kurudi kwao Burudi hana, ametia huruma kwa Rais wa Yanga Eng Hersi na wadau wamchangie ili arudi kwao doh! Aibu tupu:):Agakakskagesh: Semaji la Vital'O FC Arsene Bucuti amesema nauli ya kurudi Burundi hana hivyo anatarajia kupewa na Rais wa Yanga...
  6. Wakusoma 12

    Hivi VAR itaanza lini kutumika kwenye Ligi kuu ya NBC 2024/2025? Maana kumekuwa kimya na ligi imeshaanza

    Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado? Uzi tayari. Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa...
  7. C

    Ushabiki wa Simba na Yanga umeanza kuwa na utamaduni wa ngoma za wasukuma wagika na wagalu

    Ushabiki wa timu za mpira umekuwa na historia ya muda mrefu hususani kwa timu hizi mbili za kariakoo. Kwa siku za hivi karibini kumejitokeza utamaduni mpya wa watu kuhamia timu wanayoona inafanya vizuri nje na ndani ya uwanja. Utamaduni huu unaoanza kujengeka,ni kama wa ngoma za jadi za...
  8. anoldmedia

    Pazia la ligi kuu ya NBC kufunguliwa leo 16 Agost, 2024

    Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
  9. SAYVILLE

    Hivi ile mialiko ya Yanga kwenda Ulaya na Kenya kwenye preseason hii iliishia wapi?

    Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli. Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii...
  10. Mkalukungone mwamba

    Israel Mwenda arudisha pesa zote Simba SC na kusepa klabuni hapo

    Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuridhia ombi la mchezaji Israel Mwenda kuondoka klabuni hapo baada ya nyota huyo kudai kuwa amepata timu nyingine Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi imebainisha kuwa nyota huyo alisaini mkataba mpya wa miaka miwili lakini kabla ya kuanza kuutumikia, aliandika...
  11. M

    Young African imekuwa tishio kutokana na uongozi imara. Simba jifunzeni kwao

    Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya. NB: Young African...
  12. C

    Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

    naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
  13. BINAGI BLOG-BMG

    Simba mpya mbele ya Yanga Bora

    Ni kweli Simba SC wamejitahidi kubadili kikosi, na angalau wachezaji wameonesha utofauti kulinganisha na kikosi kilichopita. Lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiki kikosi cha Simba SC hakiwezi kuifunga Yanga SC ambayo ni bora kwa sasa barani Afrika. Tazama hata magoli yaliyokataliwa, ni magoli...
  14. Mkalukungone mwamba

    Mwijaku vipi, ameshamkabidhi Mke wake kwa Ali Kamwe?

    Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe? Ubaya Ubaya tu. Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa...
  15. Erythrocyte

    Hatutarajii Kuona Mabango ya Wanasiasa kwenye Simba/Yanga Day, TFF na Polisi liangaloeni hili kwa Umakini

    Kwenye Michezo, ikiwemo soka ndiyo sehemu pekee wanapokutana watu wa Itikadi Tofauti, wanaweza kuwa Chama kimoja cha Siasa lakini wakakutana uwanjani wakiwa Timu tofauti, Na waweza kuwa Mahasimu kisiasa lakini wakawa wanashabikia timu moja. Hii ni kwa sababu Michezo haihusiani na Siasa wala...
  16. Shooter Again

    Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

    Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba. Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Mangungu jiuzuru kuepuka aibu ya kung'olewa na wanachama

    Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika kuhakikisha Simba inakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao na kurejesha heshima ambayo imepoteza katika...
Back
Top Bottom