Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata...
Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali.
Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024
Yapi maoni yako?
Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo.
Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick
Bahasha fc.
Ligi zote duniani huwa zinaendeshwa kwa sheria na taaribu ambazo zimejiwekea hasa ikija upande wa wadhamini wa Timu .
Ligi nyingi mdhamini mmoja hawezi kuwa mdhamini mkuu wa timu zaidi ya moja kwenye ligi na mara nyingi unakuta mdhamini anaedhamini timu zaidi ya moja ni upande wa Jezi tu au...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC
📆 03.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 6:30PM(EAT)
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal Baccaaaaaaaaaaa
Dakika 7
Tunashambulia kwa kasi
Dakika ya 12
Yanga SC wanapata Kona
Dakika ya 14
Tunapata...
Youssouph Dabo ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa AS Vita Club, klabu maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Dabo anachukua nafasi hii baada ya kuachishwa kazi na Azam FC, ambapo aliifundisha timu hiyo.
Uteuzi wa Dabo unakuja wakati ambapo AS Vita Club inahitaji kuimarisha...
Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO...
Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess.
Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..
Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.
Simba...
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake
2. Kijili - huyu naye ni kama...
1. Refa ni wa simba
Mpira wetu matokeo tunapanga sana. refa katumwa na simba washinde mechi. shame ila alikwau na maelekezo
2. Magoli yote offiside ya simba.
Kibendela nae katumwa. yani hii ligi refa ni alajiga tu. wengine wote ni wezi. sio kwamba quality awana ila wanatumwa. kitu awajui ...
Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo.
Chondechonde tunautaka uongozi wa Simba Sc uhakikishe safari hii washambuliaji wetu hawafanyiwi vitendo vya kishirikina...
Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk
Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama...
Dah! Huyu mwamba huu msimu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki.
Yahani akikutana na timu kubwa na inayojua ball anaibamiza bao za kutosha, ila akiutana na wachovu pale ndio unajua mtu anakula nyingi siku hiyo ndio anapata ushindi mwembamba.
Rejea hizi games
Yanga 1 Vs Ts galaxy 0...
Nimewacheki Chama langu Azam fc . Bado wana a lot of individualism . Kila mtu yupo kivyake . Awana timu , in short kesho Simba Ana point 3 zake mapema tu.
Azam fc sijui nani aje ? Sema deal ni kuchukua Makocha wa Simba au yanga wakisuke KIKOSI vizuri.
Sema Azam fc Dini nyingi sana . Huu ndo...
Hapo vip!
Kwa mchezo na matokeo ya leo ya Yanga dhidi ya Ken Gold ni dhahiri ya kwamba yanga ni timu mbovu sana.
Na leo imedhihirisha hizo timu Yanga alizocheza nazo za club bingwa CBE SA na Vital O ni matimu mabovu kuliko hata Keny Gold. Ken Gold amezulumiwa gold la wazi ingrkuwa draw.
Club...
Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC
✍️Usimamizi mbaya wa fedha baadhi ya wachezaji: Hukosa ujuzi au elimu kuhusu jinsi ya kusimamia mapato yao makubwa wanapokuwa kwenye kilele cha taaluma yao. Matokeo yake, wanatumia pesa kwa anasa au uwekezaji usio na faida, na wanapostaafu, wanakosa vyanzo vya kipato.
✍️Matarajio ya mapato ya...
Juzi Bw.Kaduguda umekaririwa katika vyombo vya habari na nikakusikiliza vzr sana ukimshambulia vikali mshambuliaji Leonel Ateba eti sio striker kwa sababu za kitoto kabisa kuwa ana assist nyingi kuliko mabao.
Ukasema kwa kutamba kabisa kuwa duniani kipa kazi yake ni kuokoa, beki kazi yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.