Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki.
Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA na Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi.
Pia, Soma:
=> CAF Yapendekeza...
Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT)
1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL.
kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje...
Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
I will be short
a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams.
Simba has bigger budget. bigger fan base. bigger presence, no hard feelings but Simba will win almost all game in that group.
am rooting for...
Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.
Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.
Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama...
Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.
Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani
Ila kinachoniacha...
Salaam Big thinkers
Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK
Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali.
1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black.
2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo...
Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba
1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo
2. Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu mtakosa cha kutuambia mashabiki wenu
3. Bado kuna wanafiki wapiga dili ndani ya timu yetu ambao sio...
Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao.
Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na speed kali ya kutia watu dozi kubwa katika uwanja huo,utopolo nao wakaenda kufanya mazoezi hapo jambo...
Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
Mechi Imetamatika Ikishuhudiwa Simba akiondoka na Sare ya goli Mbili Kwa Mbili Dhidi ya Coastal Union (Wana Mangushi).
Lakini Mjadala Unabaki Kwa Nini Lamek Lawi Hakuwa Sehem ya Kikosi Cha Coastal union kilicho Cheza Mchezo Wa Leo Dhidi ya Simba.
Soma Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck...
Huyu kocha Juma Mgunda ameitendea mengi timu yetu lakini huwa tunamtreat vibaya mno. Juzikati tumemfukuza kazi, na leo ameanza makeke. Tukienda mkwakwani tunakula 2-0.
Hongera sana Camara, kipa la NBCPL.
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Nilitegemea Simba watapata ushindi tena mnono kulingana na status za timu zote mbili ni kama mbingu na ardhi,
Leo Simba wamenikera sana, mbaya zaidi wamenichania mkeka, nimekwazika mno.
Hata dabi ya October 19 nina wasiwasi inaweza kuahirishwa tofauti na hapo Simba inaweza kuchapwa kwa mara...
Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa.
Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango.
Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko...
1. Kocha Fahdu na Jean Charles Ahoua ndio walioiua Simba leo, Ahoua yuko slow, mchoyo na hajui kupiga faulo, kila nikitoa maoni mnatukana leo mmeona
2. Jean Charles Ahoua kama ndio MVP ligi ya kwao basi Ditram Nchimbi ana uwezo wa kucheza soka Ivory Coast
3. Kama Simba ingecheza na timu nzuri...
Watu walianza kushangilia ushindi wa goli nyingi Kwa kucheza na wagonjwa yaani team ya Fountain gate na Tabora United ambao wachezaji wao walikuwa hawajakamilisha vibali mkawapiga mkataba mpaka BBC, Yanga tukawachek tukaaema mtanasa tu
Sisi taratibu tukaanzia Away mechi mbili za mwanzo...
Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa...
Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.