soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Metronidazole 400mg

    Kapombe na Zimbwe ndio watakao mfukuzisha kazi kocha Fadlu

    Hawa wawili ni full backs Bora kabisa kuwahi kutoka hapa Tanzania ( ila tukubaliane kazi na umri shehe ) Wametumika na makocha wengi kwa mda mrefu na Bado wanaendelea kutumika ( hili ndilo AMBALO Mimi nalikataa na nitalipinga daima ) Just imagine, kwenye mechi za kimataifa ni wao, NBC wao, fa...
  2. kipara kipya

    Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  3. M

    Wanaosema Amli Miroud hana sifa za kukaa kwenye benchi la Yanga, nadhani waache propaganda nyepesi

    AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu halafu hapo hapo akose sifa za kuifundisha Yanga inayoshiriki ligi iyo iyo? Bodi ya ligi na TFF wao...
  4. ngara23

    Coach Miloud Hamid kuhamia Yanga sio ajabu ni biashara ya kawaida kabisa

    Nimeshangaa baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira kuhusisha usajili wa coach Miloud Hamdi na undugu wa Yanga na Singida. Watu hawa wana uelewa mdogo Hii ni professional football watu wanajali pesa hawapo kwenye hizi timu kuuza sura, hii sio amateur football Morinho amefundisha timu 3 za...
  5. kipara kipya

    Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  6. Chizi Maarifa

    Nlisema ukweli ushindi tunaopata Yanga si kwa sababu ya kocha

    Kocha wala ubora wa team. Ni ushindi wa kimichongo. Ndo maana unaona Yanga tunapita mtu 5 lakini wala hatuongei sana. Tunafahamu si mbinu za kocha wala si ubora wa wachezaji. Hizi teams tunazifahamu, zinatufahamu na tunafahamiana. So tukiamua hata kuzipiga 10 inawezekana. Ndo maana pamoja na...
  7. C

    Wachezaji watanzania jitambueni kulinda hadhi yenu msirubuniwe na utopolo

    Tunajua utopolo ana mamluki wengi,wengi wakiwa wezi wakubwa hii nchi wanaotoa pesa zao kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili ama wawalegezee wanapocheza Mao,ama waikamie Simba ikibidi hata kuvunja miguu ya wachezaji wao ili kudhoofisha kikosi chao. Hata hivyo nawakumbusha kuwa hiyo ndiyo kazi...
  8. Mkalukungone mwamba

    Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi za Simba

    Wanajukwaa Kwema! Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo. Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya...
  9. ngara23

    Mechi ya Tabora United vs Simba huwa kuna upangaji matokeo ya wazi

    Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni. Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba. Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe...
  10. M

    Viongozi wa Simba huyu dogo Kassim Rajani kama ni Mtanzania basi mpeni usajili bila majaribio, boli linatembea sana kwake huyu dogo

    Nimemwangalia huyu dogo kwenye youtube, huyu anajua boli kuliko Mashaka Valentino, anajua boli kumshinda Mukwala, anajua boli kumshinda Prince Dube, hata yule Seleman Mwalimu wa Fountain Gate hamfikii, dogo ana kasi, ana chenga za maudhi, ana control, nimeona clip zake, kama kweli ni mtanzania...
  11. ngara23

    Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

    Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5 Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5 Mechi ijayo tutawafunga 10
  12. C

    Moja ya hasara za kutegemea uchawi,ni kuwaweka boarding wachezaji wa timu wakati wana wake na familia zao

    Maisha ya soka hapa Tanzania yamejaa maswali mengi sana.Unaweza ukafikiri mpira ni kipaji,uwezo,nidhamu na kujituma sana katika mazoezi.Kwa hapa Tanzania jibu ni lah! Watanzania wengi wakiwemo viongozi wa timu hizi wanaamini kuwa mchezaji anaweza kurogwa kupitia mahusiano ya kimapenzi na...
  13. Waufukweni

    Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

    Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni. Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
  14. C

    Sikutarajia watu kuumia sana kiasi cha kutoficha hisia zao baada ya mashabiki wa Simba kuchangia pesa ya adhabu

    Katika hali ya kushangaza sana nimeona hata baadhi ya wachambuzi wa mpira wanaongea kwa uchungu sana baada ya kuona mashabiki wa Simba wameamua kuchangia timu yao baada ya kuadhibiwa na CAF. Mmoja wao anayejiita chuma cha mjerumani anasema eti mashabiki kuchangia wanadhihirisha wao ni...
  15. Its Pancho

    Simba wamegeuka kuwa marafiki wa Mzize. Hakika wamemkubali

    I salute you kinsmen. Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.! Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo hii wamejifanya marafiki wa mzize ..! Sote tunajua mzize amepata ofa kutoka wydad zaidi ya 3 na...
  16. Labani og

    Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

    Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti ..... Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa makolo Ili kuwapa comfort NB: Je umechangia makolo Tsh? Share muamala wako tuone Cc : Kalpana
  17. M

    Tafadhalini mashabiki wenzangu wa Simba efu Moja Moja kwa mashabiki laki moja tunamaliza Deni la milioni 90 na chenji inabaki

    Simba imeadhibiwa kwa sababu yetu sisi mashabiki, sio kosa la uongozi wala nn, japokuwa tunaamini kuwa Caf wametuonea lkn hakuna namna tena, lazima tulipe dola efu 40,000. Ndugu yangu shabiki Mwenzangu wa Simba Sports Club, kama kweli wewe ni mwanachama au shabiki halafu viongozi wetu...
  18. GENTAMYCINE

    Tetesi: Huyu anayetudanganya Kutwa kuwa Fei Toto anakuja Simba SC ni nani? Haya sasa 'Kuleni Chuma' hiki kuwa kwa 85% anarejea Walikomdharau na Kumnyanyasa

    Kwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.
  19. Dabil

    Tetesi: Uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho, timu zinazoutumia zitafute viwanja vingine

    Za ndani kabisa ni kwamba agizo imetolewa uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho kwahiyo timu zinazotumia huo uwanja zitafute viwanja vingine vya kutumia. Soma Pia: Uwanja wa KMC Complex kufungwa camera, taa na AC kabla ya Januari 2025
  20. SAYVILLE

    Israel Mwenda umekubali kukaa miezi 6 bila timu?

    We dogo una vielement vya kutojitambua au labda unajichukulia poa kiasi kwamba timu nazo zinakuchukulia poa. Umeingia anga za usajili wa kimhemko wa Yanga ambao siku hizi wanasajili wachezaji ili kuikomoa Simba. Huko ulipokwenda umekuta mambo hayaeleweki, timu haiwezi kusajili ina madeni mengi...
Back
Top Bottom