Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe .
Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk
https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
Vipigo Vya Mfuatano ambavyo Yanga imekumbana navyo vimesababisha 'Wenge' zito pale Jangwani.
Katika pita pita mtandaoni kila MwanaYanga anayejihisi anayo influence anakuja na Andiko La kujipoza.
Teyari nimekutana na Andiko La Alafat, Privaldinho,La Wachezaji Pacome,Chama na wengine!
Vipigo...
Mzee Magoma akihojiwa leo amenukuliwa akisema Yanga slow pancha ilianza muda mrefu.
Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu Yanga..
Kasema na kuwaasa uongozi unaongozwa na Mhandisi Hersi kua wamtafute wayamalize, la sivyo Yanga kule ligi ya mabingwa...
Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.
Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.
Nakuhakikishia kuwa kila binadamu amepitia hali hiyo,sio wewe tu,na hata hao wanaokutukana,wamewahi kupitia hali...
Kuna wakati huwa najiuliza huyu mwanga anayeroga akili za viongozi,mashabiki na wachezaji ni nani hasa?
Mbona mi naona Morrison bado anahitajika sana hasa kwa Simba hii?
Samahani kwa wenye chuki ila binafsi siangalii rangi ya paka ila tu kama ana uwezo wa kukamata panya.
Club ya Simba sio...
Ama kweli siku ya kufa nyani...hawa makomandoo inaelekea wana nguvu sana kushinda hata uongozi wa Yanga..
Ali kamwe tunajua sote ni msemaji wa timu ya Yanga na ni jambo la kawaida kabisa kila kabla na baada ya mechi lazima ajitokeze ili aweze kuzungumzia mchezo ulikuaje.
Sasa katika hali ya...
Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani.
Kipigo cha leo cha Yanga dhidi ya Al Hilal kimekuwa na sitofahamu tatizo la Yanga ni nini kwa sasa maana kila mtu anasema lake
Kocha anasema wachezaji hawana fitness lakini mpira ulivyochezwa Yanga wamepata nafasi nyingi na ndio...
I salute you kinsmen.
Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale .
Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili.
Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
Niliandika ile siku ya game ya Simba SC na Utopolo, Nilisema inawezekana Yanga ime drop au inawezekana Simba ime imemprove; Pia nilisema mwaka huu Yanga hatoboi hata group stage .
Mean while , Injinia wa mchongo amekwenda kufanya kosa kubwa la kiutendaji linalokwenda kuicost timu msimu mzima...
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaki kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari...
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3...
Sipo hapa kulalamika na wala sio kawaida yangu kuandika uzi wa kulalamika, binafsi matokeo ya leo hayawezi nifanya kukata tamaa kwani naijua football vizuri, bado timu ina nafasi ya kufanya vizuri katika mashindano yote inayoshiriki.
Wala sitaki kupeleka lawama zangu kwa kocha huyu mpya kwani...
Acheni hayo maneno. Si sawa hawa wageni wapo wanaojua kiswahili. so wanaelewa haya maneno wanapoyasikia inakuwa inatupa nafasi ngumu sana kwetu kuwa bila
1. Kujidunga
2. Uchawi
Haya si maneno mazuri. ni maneno ambayo wakiyasikia watu wanaweza kutuwekea wakati mgumu sana. watataka kutudhibiti...
Huyu jamaa Salim Abdallah, (sipendi na sijawahi kumuita jina lake la utani) sijawahi kumuelewa toka nimeanza kufuatilia nyendo zake pale Simba.
Juzi baada ya sakata la kule Mwanza, inasemekana alitaka kuwachomesha Simba wenzake ili ndiyo waonekane wakosefu. Tunaojua mambo ya ndani ya Simba...
Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha.
Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi...
Simba ijitathmini tena kuhusu huyu CEO mpya,haiwezekani shabiki wa Yanga aje kuwa CEO wa Simba,hatutaki mamluki kama alivyokuwa Manara,mbinu za kivita zinazojadiliwa Simba yeye anapeleka upande wa pili.
Huyu CEO aondolewe mapema kwa maslahi mapana ya timu.
Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda...
Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote ni guvu ya goli la mama
Mitano tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.