soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    RC Mwanza, Mtanda alivyosema Yanga Oyee! Akiwahakikishia wadau Ushindi kwa Pamba Jiji dhidi ya Simba SC mechi yao ya Ligi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi ni lazima wa Klabu hiyo ya Rock City, katika Uwanja wa Ccm Kirumba. Amesema hayo akiwa Kwimba...
  2. Mkalukungone mwamba

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza hajavamia mazoezi ya Simba ni uzushi

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na kocha msaidizi, Taarifa hizi si sahihi Ukweli ni kuwa mkuu wa mkoa alipokea simu kutoka kwa maafisa...
  3. Waufukweni

    Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

    Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC. Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea. Soma Pia: Ahmed Ally awahofia...
  4. C

    Viongozi wa serikali waache ushabiki wa mpira uliopitiliza

    Hawa wakuu wa wilaya na mkoa kufanya ushabiki wa hizi timu kubwa uliopitiliza kiasi cha kuwachukulia timu asiyoipenda kama chama pinzani cha siasa kutahatarisha amani ya nchi hii. Kuna mstari hawa viongozi wanataka kuvuka na Mungu asipowaongoza kwa hekma,watasababisha shida kubwa.Soka ni kama dini
  5. Waufukweni

    Tetesi: Straika mpya Yanga aibukia mazoezini, muda wowote mambo hadharani

    Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town jijini Dar es Salaam. Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu...
  6. G

    Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

    record babkubwa zaidi. 1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu. 2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu. 3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON 4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu...
  7. ngara23

    Hemed Morocco hatoshi kuwa Coach wa Taifa stars AFCON

    Najua Watanzania ni watu wa matukio Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu Huko AFCON tunaenda kutia aibu Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi Timu yetu inacheza kama...
  8. M

    Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

    Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje? Pumzi za...
  9. S

    Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

    Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa? Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni. All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania. Soma Pia...
  10. technically

    Imani za kishirikina kwenye timu ya Taifa

    Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ? Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024 Aisee inasikitisha Sana
  11. Thabit Madai

    Kiko wapi? Yanga yamtambulisha Moalin kuwa Mkurugenzi wa Ufundi

    Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣 Kiko waaaapi? Kwanini Moalin sio Kocha Msaidizi? Yanga walimwambia Sead aje yeye tu msaidizi yupo,Sead Ramovic...
  12. Babu Kijiwe

    Yuko wapi mzee Magoma? Tulimshauri kuwa asicheze na Yanga

    Yanga ina uhusiano wa karibu na wa kihistoria na CCM (ASP+TANU), Kucheza na Yanga ni kucheza na CCM na kucheza na CCM ni kucheza na serikali na kucheza na serikali ni kucheza na Moto wa makaa ya mawe. Kwahiyo kucheza na Yanga ni kucheza na moto wa makaa ya Mawe. Pole sana mzee. Soma Pia: Mzee...
  13. jingalao

    Yanga ni club ya maamuzi magumu

    Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi. Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe. HONGERA ENG Hersi. na wengine wote waliobakia. YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
  14. Paul dybala

    Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

    Baleke Musonda Aucho Pacome Dube Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8 Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake. Soma Pia: Rasmi...
  15. Mkalukungone mwamba

    Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

    Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi...
  16. Kaiche

    Wachambuzi wanaoleta Takwimu mbovu za Kocha mpya Yanga

    Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira! Mpira umebadilika siku hizi… Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena. Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio...
  17. Paspii0

    Yanga: Kichaka cha Kocha, Mabadiliko Yasiyoisha

    "Yanga, ah Yanga! Kumfukuza kocha inakuwa ni kama hafla ya kila mwaka,si lazima yawe matokeo mabaya, lakini inajikuta ikichukuliwa kama 'desturi' ya mabadiliko. Kocha anapochukua mikoba, mashabiki wanajua kuwa atakuwa 'mfalme' kwa wiki chache tu,ndio, wiki chache tu! Kisha, na kwa uchungu...
  18. felakuti

    Fikiria kungetokea nini kama vilabu vya Simba na Yanga vingeshiriki michuano ya CLUB WORLD CUP

    Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA. Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32. Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka...
  19. The Watchman

    Hafla ya kukabidhi Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga

    Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga. Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo ilikuwa ni ahadi baada ya kuichakaza Yanga SC goli 3-1. Soma Pia: RC Chacha aahidi milioni 50...
  20. Komeo Lachuma

    Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

    Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi? Sisi tumemchukua kocha wenu yeye...
Back
Top Bottom