Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
-Simba vs Kmc
Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza.
Msimu uliopita Simba ililazimika kutoka nyuma na kusawazisha dakika za jioni baada ya kuruhusu mabao mawili kwa...
Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana.
Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila...
Mwamba kaungana na hawaapa
1. Mark Hughes
November 11,1987 Jamaa alicheza mechi ya kufuzu euro kati ya Wales vs Czechoslovakia na baadae akasafiri had German na kucheza for 30 min kwenye Dfb pokal na Bayern Munich
2. Den s lerby
Mwamba 1985 aliingia uwanja German ikicheza world cup qualifier...
Tarehe kama ya Leo mabingwa wa nchi, Young africans sc, Yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam, Ilifanikwa kutoa somo na onyo kali kwa kumkung'uta kichapo kikali mpinzani wake katika derby ya Kariakoo,
Je ulitazama mchezo ukiwa wapi siku hii? Hisia kabla ya mchezo zilikuwaje na ulipokea...
Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale,
Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele...
Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana!
Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa...
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.
Mind you kama Feisal angemuacha ina...
Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha wanafunzi wa chuo kinazidi walinzi na vibarua wa viwandani.
Huyo ndio Prince Dube,moaka hela za GSM...
1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija.
2.Uchovu wa mechi iliyopita.
3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita.
4.Wamekosa ufundi wa strikes
5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills.
6.Refa leo hakuweza kumudu...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC.
Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya...
Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni,
Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea".
Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba...
Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC
Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
Sikupenda goli walilofungwa mashujaa lakini iwe fundisho kwa wale wapoteza muda mwisho wa siku imewagharimu.
Hongera simba kwa pointi tatu za jioni!
Angalizo man of the match ni johora!
PIA SOMA
- News Alert: - Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024
Mtasababisha akamiwe kupitiliza kwa upuuzi wenu wa kumpa sifa nyingi kwa mechi Moja.
Nkane usivimbe kichwa kwa sifa za kipumbavu. Kataa sifa hizo za wajinga ongeza juhudi kazini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.