soka la bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubaya Ubwela

    TBT, Mashabiki wa Yanga ni mambumbu hawajui mpira

    "Mashabiki wa Yanga ni Mambumbu Wanapiga kelele tu nakuzomea kama mbwa au Nyani lakinu hawajui mpira" Luc Eymael
  2. GENTAMYCINE

    Samahani mlio jirani na Ahmed Ali muulizeni imekuwaje alisema Simba SC haitoshuka Kileleni na sasa iko nafasi ya Huruma ya Tatu katika Msimamo?

    Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba SC basi ni huyu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali.
  3. magnifico

    Simba Wasipojitathimini Kuna Uwezekano Yanga Akachukua Ubingwa Mara Saba Mfululizo Kama Juventus

    Ndugu zetu Simba msimu huu wamekuja na kauli mbiu hizi, Yanga anabebwa, Yanga ananunua mechi, GSM anatuharibia ligi na kuna muda wakipagawa zaidi utawasikia wanasema Yanga imeshuka kiwango. Maoni yangu, mafanikio ya Yanga yanaanzia kwenye uongozi. Sitaki kumuingiza GSM japo nae anaplay part...
  4. ngara23

    Yanga dirisha dogo la usajili Fanya haya

    Dirisha dogo la usajili linakuja January Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi 1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka 2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi Yao hana mbadala...
  5. MwananchiOG

    Yanga wanakuacha ukamie, wanakupiga kimoko hao wanasepa na alama zao tatu

    Utulivu, Malengo na Focus za wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Kuna namna naona hii timu safari hii haijadhamiria sana taji la Ligi (japo hii inatokea tu automatically kutokana na ubora alio nao) Ila malengo hasa ni katika Ligi ya mabingwa barani Afrika. Hii inathibitishwa na aina ya...
  6. G

    Video: Benchi la ufundi Singida Black Stars kalala chini baada ya kupigwa

    Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
  7. SALOK

    Zimebaki mechi ngapi ili tuanze kuhesabu 'Unbeaten?'

    Jamani, Jamani hii YANGA ni balaa jingine ktk Nchi hii ndani ya NBC LEAGUE! Haya tena Wananchi kama kawaida, ktk kuendeleza kuandika historia nyingine baada ya hii ya kuwakanda watani mara nne mutawalia. Lini tunaanza kuhesabu unbeaten season two? Maana naona Gari limewaka.
  8. SAYVILLE

    Mnakumbuka niliposhauri John Bocco awe golikipa pale Simba?

    Kuna siku nadhani msimu uliopita wakati Simba inapitia changamoto ya nafasi ya golikipa, niliwahi kushauri John Bocco apewe tizi ili awe golikipa. Niliamini angeweza kuwa kipa mzuri kuliko hata Ally Salim. Kuna watu wakadhani natania au namkosea heshima Bocco. Kutokana na uzoefu wangu wa...
  9. LIKUD

    Leo Bwana Gamondi " Mizimu yake ya Kitaliano" imepanda Kichwani

    Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi. I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and Ancient Mesopotamia. ( They are the descendants od the citizens of Ancient Rome) Moja kati ya...
  10. Torra Siabba

    Kocha Gamond kumchapa ngumi mtu wa Singida Black Stars ni Ushamba

    Mechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa Singida Black Stars Ni ushamba kwa mtu mzoefu na Football Kama Yeye. PIA SOMA - LIVE - Singida BS 0-0 Young...
  11. Komeo Lachuma

    Singida akitoa hata Draw na Yanga nipigwe Ban week 1. Na Demu wangu wa humu asinipe kitu pia

    Singida ni kama Simba tu kwetu. Huu ni mti wa mwembe wa uani. Unajichumia tu maembe. Singida toka ianzishwe sikumbuki kama imewahi toa hata draw na Sisi Wamba. Never. And never. It will never happen. Nasema hivi. Leo hata wakitoa draw.nina demu humu ni Mkia Sports Club. Ni nipigwe ban week...
  12. kavulata

    Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

    Yanga ilishuka lini? Wakati wa pre-season ilichukua ubingwa wa mashindano ya ToYOTA, kwenye Yanga day ilishinda, kwenye ngao ya jamii ilishinda, kwenye ligi imeshinda mechi zote bila kufungwa na kwenye mashindano ya CAF imeingia hatua ya makundi. Yanga ilishuka kiwango kuanzia lini...
  13. kipara kipya

    TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

    TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote, Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
  14. SAYVILLE

    Hoja Fukunyuku: Brand ya mchezaji inaanzia kwa jina lake

    Unasikia mwamba anaitwa Rodri baasi. Unajua hii mashine, jina tu linambeba. Mara unasikia Zico, Pele, Garincha, Kaka, Socrates, Romario, Ronaldinho, Bebeto. Jina moja tu umemaliza kazi, unajua unazungumzia nani. Unaweza ukaishi maisha yako yote haujui jina lao lingine na hautakutana na mwingine...
  15. L

    Bila kumuona Leonel Ateba kwa wiki najiona kama nina mapungufu mwilini

    Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida. Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag'...
  16. L

    Viongozi wangu wa Simba tusiende Kigoma kuikabili Mashujaa kitoto, jamaa wako vizuri msimu huu

    Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3 lakini Salum Kihimbwa akasawazisha. Mashujaa wamebadilika sana, msimu uliopita hawa jamaa kule kwao...
  17. kavulata

    KInachoponza Simba ni rangi nyekundu, isiyo ya kizalendo

    Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania. Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko karibu sana na rangi za chadema na CUF, UK, US na kule uarabuni kwenye damudamu. Ni timu mbili tu...
  18. Teko Modise

    Siku hizi Ligi za Ulaya hazina watazamaji wengi huku kwenye vibanda umiza

    Baada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya. Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani. Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool...
  19. Mkalukungone mwamba

    Yanga yenye Wanaume VS Simba ya vijana

    Ukweli acha usemwe tu Yanga inatimu nzuri sana kwa misimu hii minne tangu alivyokuwa kocha la mpira Nabi hadi sasa Master Gamond ambaye anarekodi zake nzuri kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu ndani ya Yanga. 1. Moja wapo ni kuipeleka Yanga hatua ya makundi klabu Bingwa Afrika mara mbili...
  20. U

    Akili kubwa inahitajika pia ili kucheza soccer kikamilifu

    Mtazamo wangu baada ya kuwatazama Barcelona dhidi ya Madrid, nimegundua kwamba, pamoja na kufanya mazoezi ili mchezaji aweze kucheza soccer kikamilifu na kung'ara anatakiwa pia awe na akili kubwa. Akili kubwa itamfanya mchezaji kufuata maelekezo ya kocha akiwa kwenye mechi na pia itamuwezesha...
Back
Top Bottom